Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.

Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.

Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.

1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
 
Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.

Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.

Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.

1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
Maelezo ya hayo maajabu uliyo orodhesha tunayapata wapi, OP?
 
1.Asali
2.kuku wa kienyeji
3.Bonde la ufa
4.Uwepo wa mazao ya kilimo mengi (Ngano,Korosho,Alizeti,mahindi,vituguu,mtama na uwele)
5.Nyumbani kwa wanariadhaa mashuhuri ,Ikhangaa,Faulina na Alphonse Simbu
6.uwepo wa wanasiasa wengi uchwara
7.jamii ya wahadzabe/tindiga


Utaje huo mkoa
 
1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
 
Kigoma
1. Ziwa Tanganyika-la pili kuwa na kina kirefu.
2. Uwepo wa sokwe. Hifadhi pekee yenye sokwe.
3. Uwepo wa madini ya chumvi maeneo ambayo siyo ukanda wa bahari.
4.Uwepo wa mto Malagarasi.
5. Uwepo wa vyura maalumu mto Malagarasi.
6. Uwepo wa ngoma za asili zenye upekee. Usambele na Buhabugali.
7. Uwepo wa njia ya msafara wa watumwa.
 
1. Wanaume wa dar wanaogopa panya, mende, paka wa bar na pia wanaloga ili kupata wenza.

2. Wanawake wa dar hawana viungo vya mwili natural. Ngozi wamejichubua, nywele bandia, kope bandia, kucha bandia, makalio bandia, wanapiga jeki manyonyo, wanahonga wanaume na wanaloga sana.

3. Kina mama wa Dar ; wanaishi kama vijana, wanahonga marioo, wanavaa kama wasichana hawana aibu kabisa wanakutongoza.

4. Kina baba wa Dar: wanaishi kama vijana, wanakesha bar, wanahonga vibinti, wanaoa vibinti.

5. Matapeli : wanafahamiana na watu wazito wazito , wanafahamu mambo mengi sana ya mjini kuhusiana na maisha ya watu na siasa pia. Hawana ajira ya kudumu ila wanaingiza pesa kutokana na dili mbali mbali kuliko hata mfanyakazi mwenye ajira ya kudumu.

6. Walevi ; kila siku ijioni yupo bar ni 7 days a week non stop. Mabaamedi wote wanamjua , mwenye bar, meneja,mlinzi,shoe shiner, na muosha magari. Ana meza yake maalum na mhudumu wake maalum.

7. Wadangaji ; wanajua viwanja vyote mjini na mabuzi yote mjini yenye hela. Anauwezo wa ajabu sana wa kumtambua mtu mwenye pesa hata akiwa kwenye mavazi ambayo sio nadhifu. Anasomesha, kujenga na kuendesha maisha kama mfanyakazi mwenye ajira ya kudumu.

Dar na maajabu yake.
 
1. Amboni caves
2.saadani national park
3.mkomazi national park
4.irente view lushoto
5.waterfall lushoto
6.Tanga urithi
7.usambara mountain
8.Raskazone beach
9.vyakula vya asili na burudani kibao ngoma kama baikoko
10.magoroto forest
11.Mangapwani Coral Cave
12.Fukuchani Ruins & Cave
13.Kendwa public beach
14.Nungwi Mnarani Aquarium
15.Mkuzi water falls
16.kigombe beach
17.Ushongo Beach Cottage

zipo nyingi hata 30 zinafika tuishie hapo
 
1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Natron inapaswa kuwa juu zaidi. Kuna documentary yake moja inaitwa Crimson wings, maajabu kabisa.
 
1. Amboni caves
2.saadani national park
3.mkomazi national park
4.irente view lushoto
5.waterfall lushoto
6.Tanga urithi
7.usambara mountain
8.Raskazone beach
9.vyakula vya asili na burudani kibao ngoma kama baikoko
10.magoroto forest
11.Mangapwani Coral Cave
12.Fukuchani Ruins & Cave
13.Kendwa public beach
14.Nungwi Mnarani Aquarium
15.Mkuzi water falls
16.kigombe beach
17.Ushongo Beach Cottage

zipo nyingi hata 30 zinafika tuishie hapo
kumbuka saadani ndo mbuga pekee duniani iko kando ya bahari bado kuna miti ukiikata inatoa maji yaani maji yana stream kweny mizizi unakunywa kabisa ipo wilaya ya lushoto
 
mkiona fursa za dodoma mnitag
Hakuna Malenga/marenga mkali? Ngome ya mvumi?
1. Amboni caves
2.saadani national park
3.mkomazi national park
4.irente view lushoto
5.waterfall lushoto
6.Tanga urithi
7.usambara mountain
8.Raskazone beach
9.vyakula vya asili na burudani kibao ngoma kama baikoko
10.magoroto forest
11.Mangapwani Coral Cave
12.Fukuchani Ruins & Cave
13.Kendwa public beach
14.Nungwi Mnarani Aquarium
15.Mkuzi water falls
16.kigombe beach
17.Ushongo Beach Cottage

zipo nyingi hata 30 zinafika tuishie hapo
Nimetamani kupafahamu huko Mangapwani.
 
kumbuka saadani ndo mbuga pekee duniani iko kando ya bahari bado kuna miti ukiikata inatoa maji yaani maji yana stream kweny mizizi unakunywa kabisa ipo wilaya ya lushoto
Saadani ni kitu bora sana.
 
Back
Top Bottom