Mkoa wa Lindi
1. Tendaguru formation, hapa ndipo yalipogunduliwa mabaki ya mjusi mkubwa ambayo yalichukuliwa na wajerumani (Dinosaurs).
View attachment 2198111
View attachment 2198119
2. Magofu ya kilwa na Historia yake, Dola ya mrima, kilwa ilikuwa na fedha yake.
View attachment 2198121
View attachment 2198122
3. Selous game reserve, ni pori kubwa mno na wanyamwa wengi wapo hapa.
View attachment 2198130
View attachment 2198674
4. Fukwe za bahari ya Lindi, ni zenye kuvutia kwelikweli
View attachment 2198139
View attachment 2198683
5. Cradle of majimaji, mnara wa nandete kilwa ndio mahali ambapo Vita vikubwa kabisa vya majimaji vilianza
View attachment 2198165
6. Mazao Kama korosho, ufuta, miogo, mtama na vyakula vya bahari kama pweza, ngisi, uduvi n.k. vinapatikana kwa wingi mkoani Lindi.
View attachment 2198132
View attachment 2198709
7. Visiwa vizuri vyenye maajabu na Historia nzuri, mkoa wa Lindi una visiwa vingi vinavyopatikana katika bahari ya Hindi, Sanja ya Kati, songo mnara, fanjove private island, kilwa kisiwani ni baadhi tu ya visiwa vilivyopo mkoani Lindi.
View attachment 2198157
View attachment 2198681
8. Uwepo wa gesi chini ya bahari, gesi ya Lindi inatajwa kuwa ndio nyingi zaidi kuliko ile ya mtwara.
View attachment 2198134
Very beautiful place to be, karibu Lindi.