Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Maelezo ya hayo maajabu uliyo orodhesha tunayapata wapi, OP?Habari ya sasa ni utalii. Tuchangamke.
Kuna 7 wonders za dunia, Africa na sijui kama ya Tanzania ipo. Sasa tunatakiwa kuwa na list ya 7 wonders ya kila mkoa.
Ni maajabu gani saba yanapatikana mkoani kwako au mkoa uliowahi kuishi? Mbeya.
1.Lake Ngozi
2. Ufukwe wa ziwa Nyasa
3. Kitulo plateau
4. Chunya Road
5. Kiwira river
6. Usangu basin&wetland
7….......
What?!Dar.
1. Wanaume wa dar.
2. Wanawake wa Dar.
3. Kina mama wa Dar.
4. Kina baba wa Dar.
5. Ma Tapeli wote.
6. Walevi.
7. Wadangaji.
Dar hoyee.
Mkuu ikoje hasa hii Tarakea Road?1.Kilimanjaro
2.Bwawa Nyumba Mungu
3.Rail Ya Kaskazini
4.Ziwa Chala
5.Chemchem Ya Maji Moto
6.Usangi Mountains
7.Tarakea Road
1. Wanaume wa dar wanaogopa panya, mende, paka wa bar na pia wanaloga ili kupata wenza.What?!
Natron inapaswa kuwa juu zaidi. Kuna documentary yake moja inaitwa Crimson wings, maajabu kabisa.1. Ngorongoro Crater
2. Olduvai gorge
3. Mount Oldonyo Lengai
4. Serengeti Park japo sehemu nyingine ipo Mara
5. Mount Meru
6. Lake Natron- flamingo
7. Mchanga unaohama Engaruka
8. Lake Eyasi
9. Maasai people
10. Mbuga ya Arusha
11. Snake Park
12. Ziwa Duluti
Za kuokota huku na kule mtandaoni. Nikitulia ntaleta maelezo na picha.Maelezo ya hayo maajabu uliyo orodhesha tunayapata wapi, OP?
kumbuka saadani ndo mbuga pekee duniani iko kando ya bahari bado kuna miti ukiikata inatoa maji yaani maji yana stream kweny mizizi unakunywa kabisa ipo wilaya ya lushoto1. Amboni caves
2.saadani national park
3.mkomazi national park
4.irente view lushoto
5.waterfall lushoto
6.Tanga urithi
7.usambara mountain
8.Raskazone beach
9.vyakula vya asili na burudani kibao ngoma kama baikoko
10.magoroto forest
11.Mangapwani Coral Cave
12.Fukuchani Ruins & Cave
13.Kendwa public beach
14.Nungwi Mnarani Aquarium
15.Mkuzi water falls
16.kigombe beach
17.Ushongo Beach Cottage
zipo nyingi hata 30 zinafika tuishie hapo
Hakuna Malenga/marenga mkali? Ngome ya mvumi?mkiona fursa za dodoma mnitag
Nimetamani kupafahamu huko Mangapwani.1. Amboni caves
2.saadani national park
3.mkomazi national park
4.irente view lushoto
5.waterfall lushoto
6.Tanga urithi
7.usambara mountain
8.Raskazone beach
9.vyakula vya asili na burudani kibao ngoma kama baikoko
10.magoroto forest
11.Mangapwani Coral Cave
12.Fukuchani Ruins & Cave
13.Kendwa public beach
14.Nungwi Mnarani Aquarium
15.Mkuzi water falls
16.kigombe beach
17.Ushongo Beach Cottage
zipo nyingi hata 30 zinafika tuishie hapo
Saadani ni kitu bora sana.kumbuka saadani ndo mbuga pekee duniani iko kando ya bahari bado kuna miti ukiikata inatoa maji yaani maji yana stream kweny mizizi unakunywa kabisa ipo wilaya ya lushoto
Hakuna Malenga/marenga mkali? Ngome ya mvumi?
Nimetamani kupafahamu huko Mangap
ni kisiwa watu wa pangani na unguja wanashare ila wengi wanapaita ungujaHakuna Malenga/marenga mkali? Ngome ya mvumi?
Nimetamani kupafahamu huko Mangapwani.