Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

Sema lindi mjini kumenyata sana...panaharibu sifa ya mkoa kama ulivyozitaja.

#MaendeleoHayanaChama
Ilo ni kweli kabisa mji wa Lindi uko nyuma Sana, hasa pale mjini, watu ni wachache, hamna fursa za kiuchumi, hamna vyuo au taasisi kubwa za elimu.

Lakini huu mkoa una rasilimali nyingi sana, hizo nilizozitaja hapo ni baadhi tu. Sijui kwann Lindi iko nyuma Sana, Sina sababu ya Moja kwa moja lakin nadhan Historia inatuhukumu.
 
Ni huu mfumo wetu centralized ndiyo shida kubwa. Mikoa ingepewa mamlaka na bajeti ya kupanga maendeleo yake. Leo mikoa mingi inayodharaulika ingekuwa mbali sana. Sasa mapato yote ya korosho au gesi yanaenda kujenga Dar na mikoa mingine yenye kelele.
 
Sahihi kabisa, labda huo mfumo ungetusaidia
 
1. Ndugai anapatikana hapa
2. Bunge la ccm linapatikana hapa
3. Omba omba kibao wapo

Acha niishie hapa
Malizia tu.
4.Macho ya wengi huharibikia hapo.
5.Vumbi,Jua,Mvua ikinyesha leo,kesho ukiamka upige jembe kwenye ardhi linadunda na kutoa mlio kama umegonga kwenye jiwe.
 
Tanga Tanga
 
Serikali ikiweka msisitizo,Lindi itakuwa juu sana.im so proud of..[emoji111]
 
Lindi haijapewa ujiko kutoka serikalini kama serikali inavyofanya katika mikoa mingine kila jambo zuri linaapelekwa katika mikoa mingine sasa hapo unategemea nini.Msisitizo wa serikali ndio huwa chanzo cha maendeleo katika mkoa x.Nchi imetususa sana, tutapiga hatua mpaka pale Rais wa nchi atokee LINDI au Pwani.
 
kumbuka saadani ndo mbuga pekee duniani iko kando ya bahari bado kuna miti ukiikata inatoa maji yaani maji yana stream kweny mizizi unakunywa kabisa ipo wilaya ya lushoto
Sadani Ipo pwani mkuu, lushoto hakuna bahar
 
Sahihi kabisa
 
Sema lindi mjini kumenyata sana...panaharibu sifa ya mkoa kama ulivyozitaja.

#MaendeleoHayanaChama
😁😁😁naona we mdau wa lindi, tatizo ndio hilo kumenyata/ hakuvutii na hakuna changamoto kwa hyo ni ngumu kufanya uwekezaj mkubwa kwan unaweza poteza pesa zako tu.
Labda huo mrad wa ges Lindi Natural Gashyo( LNG) uje kufanya mabadiliko.
 
Hakuna exposure, wageni ni wachache sana, afu figisu kwa mgen kufanya biashara ni kubwa na ndio maana kila bidhaa ipo juu. Siku amin mara ya kwanza kununua Condoms packet ya dume 1000 ktk phamacy.
 
Ni huu mfumo wetu centralized ndiyo shida kubwa. Mikoa ingepewa mamlaka na bajeti ya kupanga maendeleo yake. Leo mikoa mingi inayodharaulika ingekuwa mbali sana. Sasa mapato yote ya korosho au gesi yanaenda kujenga Dar na mikoa mingine yenye kelele.
Kwa upande wa koroaho, mapato yanakusanywa na Halmashauri husika, na matumiz wahusika wenyewe chini ya ofisi ya Mkurugenzi ndio wana panga matumiz kulingana na priorities/ viaumbele vyao. Makusanyo ya mtindo huu hayaend Serikal kuu
 
tutapiga hatua mpaka pale Rais wa nchi atokee LINDI au Pwani
Hayat B. W Mkapa alitokea Mtwara, mkoa jiran kabisa na Lindi, hadi tamadun zinafanana hajafanya jambo.

Mh JK Kikwete ametoka Pwani, pia ametawala miaka kumi😅😅 bado malalamiko mengi.

First lady miaka 10, mama Salma Kikwete mzaliwa wa Lindi na pia bado mbunge wa Mchinga

Mzee baba mwenyewe, PM, mtu wa kazi Kassim Majaliwa mtu wa wa Lindi

Unataka nn mkuu?.
 
Bagamoyo.
Jina lenyewe linajieleza
Bagamoyo pako vizuri sana kwa utalii. Wafuga mamba badi wapo? Beaches zake kama unaelekea Kaole zinavutia sana. Ni basi tu nguvu kubwa haujawekeza kupatangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…