Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

Majaliwa ameleta mabadiliko kidogo Ruangwa imebadilika sana.Ipo siku tutaikamata hii nchi nasi tutafanya kama Magufuli.
 
Umeshafeli..umeambiwa mkoa.
 
Atleast wewe umepanga vitu kwa weledi... Panavutia ila nasilkia umwinyi ni mwingi saaana..... Mji upo kiiiiiiiiimya dadek.

Sehemu zoote hzo hakuna wageni ni wazawa tu no utaliii.

Ntafika lakini
 
Kwa nini wawekezaji 98% wa sector ya utalii wanakimbilia kuwekeza Unguja, Dar na Arusha na si Lindi?.
Connection, shule,ubinafsi na juhud za serikali.


Lindi ni wavivu, watu wa kujisahau... Ukanda wa kusini wamebahatika kupata viongozi wakubwa serikalin ila hawana support hata ya upendeleo na kwao...hawana vyuo hawana biashara wala kilimo... Reform iwe kubwa saana inatakiwa.

Royal tour inatangaza arusha tu.... Wanaamini utalii ni mlima na wanyama tu over.
 
Mkapa si alitoka upande huo.... Mna akina membe, majaliwa, watu kibao tu akina kinjikitile....

Mbona hamna walichofnya....
 
Atleast wewe umepanga vitu kwa weledi... Panavutia ila nasilkia umwinyi ni mwingi saaana..... Mji upo kiiiiiiiiimya dadek.

Sehemu zoote hzo hakuna wageni ni wazawa tu no utaliii.

Ntafika lakini
Usemayo ni kweli, tupo katika umasikini pia lakin tuna resources za kutosha sana
 
Arusha yetu ina maajabu mengi
.Geneva of Africa
 

JamiiForums mobile app
7. Nsyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…