Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni

Screenshot_2023-12-30-23-27-10-1.png

Toa maoni yako
 
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni

View attachment 2857896

Toa maoni yako
Sasa siukashitaki wewe kama wewe na utoe ushahidi juu ya huyo anayewekea watu chupa hata huko UN nenda kashitaki wewe sinimpigania haki za binadamu bwana.

Au beba mabango BBC wakuone kama kina Bob Wine huko Uganda siyo kujificha ndani ya jf.

Kama huwezi kuleta ushahidi basi huna haki ya kuzungumza chochote juu ya hilo.

Ina maana Manyara yooooote hawajaliona hilo na kutambua kuwa unachuki zenu za siasa kwa kuwa anayetuhumiwa aliondoka chadomo?
 
Back
Top Bottom