Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
wanapenda kujihesabia haki sana hawa ila hawataki kuwajibikaSasa siukashitaki wewe kama wewe na utoe ushahidi juu ya huyo anayewekea watu chupa hata huko UN nenda kashitaki wewe sinimpigania haki za binadamu bwana.
Au beba mabango BBC wakuone kama kina Bob Wine huko Uganda siyo kujificha ndani ya jf.
Kama huwezi kuleta ushahidi basi huna haki ya kuzungumza chochote juu ya hilo.
Ina maana Manyara yooooote hawajaliona hilo na kutambua kuwa unachuki zenu za siasa kwa kuwa anayetuhumiwa aliondoka chadomo?