Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Walikuwepo,
Walikwends kutoa ushahidi kwa DPP?

Waliona au nao walisikia?

Wakat anaingizwa hiyo chupa Manyara yote walikuwepo?. Wewe unavyopiga kelele zote hizi uliona au nawe umesikia tu?

DPP kajitoa kesi ya Mbowe mmeshangilia.
Leo kajitoa kesi ya msiyempenda mnalalama.

Kesi ya Kamanda Mbowe ilikua ya kubumba
 
ccm kumejaa dhurma, wizi, ufitini, uongo, kuwaelewa ccm na mambo yao ni vigumu sana....wanajiona wao hawatakufa ndio maana wanafanya haya wanayoyafanya
 
Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jibu swali mmeona au mmesikia,kama mmeona basi pelekeni ushahidi wenu polisi ili dpp awahfikishe mahakamani.

99% wanasema wamesikia na kuona kupitia mitandao wewe pia umesikia kupitia mtandao halafu unataka mtu afungwe,una akili wewe kweli?
 
Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo aliyekosa kibali imethibitika pasi na shaka.
Na amehukumiwa kwa Mujibu wa sheria siyo kwa mujibu wa hisia zako..(Huu ndo maana halisi ya utawala wa sheria)

Wewe umethibitisha tuhuma za Gekul au umesikia tu?.. Utawala wa sheria unataka ithibitike pasi na kuacha shaka.

Toa UJINGA wako , jibu hoja siyo kuleta mahisia yako hapa
 
Back
Top Bottom