Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !
Hii ndiyo CCM ninayoijuaMchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Utaruhusiwa kuiba mali za umma mchana kweupeCcm Wapo na immunity. Wako juu ya sheria.
Sumaye aliwahi kusema ukitaka mambo yako yaende vizuri jiunge ccm
Na kweli kule wamejaza masikini tupu na wanapigwa vifungo virefu haswaUkiwa maarufu au pesa ipo unaendaje jela Sasa.
Labda ulaya ndo hawaangalii sura uwe trump au billgate jela unaenda, Africa jela ni kwa ajili ya watu masikini.
Walikuwepo,
Walikwends kutoa ushahidi kwa DPP?
Waliona au nao walisikia?
Wakat anaingizwa hiyo chupa Manyara yote walikuwepo?. Wewe unavyopiga kelele zote hizi uliona au nawe umesikia tu?
DPP kajitoa kesi ya Mbowe mmeshangilia.
Leo kajitoa kesi ya msiyempenda mnalalama.
Utaruhusiwa kuiba mali za umma mchana kweupe
Hakuna kitu chochote maana dola ni sehemu ya mashina ya CCMKiama chao kinakuja! Watatapika hizo hela za wizi na ufisadi
Sasa kama hauna pesa ya kununua haki yako why usilambwe kifungo kirefu uwe mfano eti mahakama zinafanya kazi.Na kweli kule wamejaza masikini tupu na wanapigwa vifungo virefu haswa
Bongo sio ulaya.Kiama chao kinakuja! Watatapika hizo hela za wizi na ufisadi
Hapo sawa kabisaSasa kama hauna pesa ya kununua haki yako why usilambwe kifungo kirefu uwe mfano eti mahakama zinafanya kazi.
Kesi bongo ni biashara.
Ukiwa ccm unakaaje jela sasaCcm Wapo na immunity. Wako juu ya sheria.
Sumaye aliwahi kusema ukitaka mambo yako yaende vizuri jiunge ccm
Jibu swali mmeona au mmesikia,kama mmeona basi pelekeni ushahidi wenu polisi ili dpp awahfikishe mahakamani.Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hu9 ugonjwa ulionao unaitwa NEPOTISM .Kesi ya Kamanda Mbowe ilikua ya kubumba
Huyo aliyekosa kibali imethibitika pasi na shaka.Yaani unatoa Jibu la kipuuzi hata aibu huoni? Aliyehibiri Injili amefungwa kwa sababu Hana kibali Cha serikali, huyu mbunge Tena naibu Waziri wa katiba na sheria, badala aonyeshe mfano jinsi sheria anayosimamia inatakiwa vipi kuiheshimu, yeye anatenda kosa la hovyo kama Hilo, halafu anamtokea mtu wa hovyo kama wewe anatetea upuuzi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kinga ya Spika ipo kwa mujibu wa sheria.Nchi zinazojali sheria, ukituhumiwa lazima upande kizimbani, muulize Trump aliyekuwa Rais wa Marekani, hapa kwetu hata Spika wa bunge ana Kinga ya kutoshitakiwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app