Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

Mmoja waziri mwingine mkulima tu hawawezi kuwa sawa mbele ya Sheria.
Waziri ni boss wa DPP
 
Kesi ya huyo mchungaji ilikuwa ni kuhubiri injili? Unaweza onyesha sehemu DPP alipovunja sheria?
Aliyeshtaki nani? Aliyeifuta nani!! Afrika Kusini nyakati za makaburu pia kulikuwa na mahakama na kulikuwa na bunge. Kulikuwa pia na sheria zilizotungwa na Bunge. Walishtakiwa weupe, walishtakiwa weusi na wote walihukumiwa. Kwa mujibu wa upuuzi ule, machawa waliamini haki ilikua ikitendeka - nao ndo walikua watawala. Muda ni mwalimu mzr na watawala huja na kuondoka. Iko siku
 
Acha kunililia mtandaoni mimi sio babako.
 
Mbumbumbu kama wewe unataka tubaki kwenye Hali hii ambapo mahakama na bunge zimewekwa mfukoni, simu zinapigwa tu kwa Jaji "amua hivi", na inakuwa, fikiria mshitakiwa Gekul hakufika mahakamani kwa sababu tayari alishajulishwa hukumu ilivyo kabla, Sasa mbumbumbu kama wewe unataka tubaki hivi miaka yote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Piga simu kwa jaji na wewe shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom