Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yaani Manyara wote wawe wajinga ila akili uwe nayo wewe wa geita !Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Huu uzi ungesubiri kupambazuke lakini unapost usiku huu wa saa saba kama mchawi!Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Huko kwenu ni usiku , kwetu ni mchanaHuu uzi ungesubiri kupambazuke lakini unapost usiku huu wa saa saba kama mchawi!
kumbe chadema mnao ushahidi ? pelekeni polisi maana maneno hata kwenye kanga yapo ,Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Sasa siukashitaki wewe kama wewe na utoe ushahidi juu ya huyo anayewekea watu chupa hata huko UN nenda kashitaki wewe sinimpigania haki za binadamu bwana.Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
View attachment 2857896
Toa maoni yako
Sasa ulitegemea mchadema atritiwe SAWA na mccm.Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa
Kuhubiri injili bila kibali,huku wamemnyima kumpa kibaliKosa kuhubiri injili? Mahakamani alisomewa shitaka gani?
hawa jamaa ni watu wa ajabu mno usisimbuke nao huwa wanajihesabia haki kwa kutengeneza script za hisia ili eti waonewe huruma na jamii 🐒Ulipelek ushahidi kwa DPP au Uchadema unakusumbua.
Acheni kuchafua watu kwa chuki zenu za kisisasa