Maajabu: Aliyejenga soko la Kariakoo alikufa 10 Julai

Kiukweli kabisa bila ya kupepesa macho uyu mchoraji wa pale kachora na mjenzi pia kajenga kwelikweli,lile soko ukiliangalia tu hata kwa mbali unaona kabisa wazee wetu walitumia akili zao vizuri
 
Haya maajabu yamezidi yale ya kiongozi mmoja kufa tarehe 09 march na wadanganyika kutangaziwa tarehe 17 march
Hahah au na soko liliungua tarehe 3 harafu wanatuambia ni tarehe 10🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…