Maajabu: Aliyejenga soko la Kariakoo alikufa 10 Julai

Maajabu: Aliyejenga soko la Kariakoo alikufa 10 Julai

Kiukweli kabisa bila ya kupepesa macho uyu mchoraji wa pale kachora na mjenzi pia kajenga kwelikweli,lile soko ukiliangalia tu hata kwa mbali unaona kabisa wazee wetu walitumia akili zao vizuri
Kweli mkuu. Huyu mchoraji mzalendo alikuwa kichwa kweli kweli. Lile ni bonge ya soko kuanzia kule shimoni hadi juu.
 
Back
Top Bottom