Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

Hapa ndo namkumbuka mwalimu wangu was primary aliponambia nisisome ili nipate Ajira Bali nijielewa (self awareness) na kufuta ujinga . usikute alosema kwa joto hilo 37.1 aliepimwa ana kirona ni dicta eti.
 
Kuna siku nlikesha kwenye mtungi asubuhi Nkaenda kwenye mishe moja nkaingia kwenye godwn moja hko tazara kunipima mashine ikasoma 40 baada ya muda kupima tena ikasoma 35

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hivyo si ndiyo vipima joto vilivyokuja kwenye mzigo mmoja na kina Jabil oil, Mariam papai na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…