Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Music industry maturity ndio hiiSalaam Wakuu,
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba.
Je, uhasama wao umeisha au?
View attachment 2538098
Na mimi nililigundua hili miaka 3 nyuma.Na aliyewafanyia hii program ni Ruge.Hakuna ugomvi paleUhasama wao ni biashara, sio kama ninyi mnavyopigana vikumbo mtaani
Unatakiwa kuwaza kwa mapana kabla hujaandika.Ujinga tu. Hamna maturity kupost post mtu hakusaidii. This is life.
Jayz ampost future to hell uite maturity.
Hapo swali liloulizwa uhasama umeisha.
Msifanye maendeleo ya mziki ni kupostiana.
Msaada wa Alikiba uko wapi unaoonekana. Au upo WCB. Maana hapo kwa macho yangu nje Alikiba ataona diamond kashoboka tu. Ndio maana yangu. Sasa uwe unasoma vizuri text sio unaropoka tu. Sawa glenn.Unatakiwa kuwaza kwa mapana kabla hujaandika.
Unasema hamsaidii kivipi?
Unataka apewe pesa?.
Kumbuka kupost huo wimbo umetufanya na sisi tujue kuwa Kiba ametoa wimbo tuutafute.
Huu ni msaada mkubwa mno.
Diamond ana wafuasi wengi ndani na nje ya nchi zaidi ya watu 10m wanamfuatilia.
Hivyo amemtangazia kazi yake kwa watu zaidi ya 10m.
Katika hao wakidownload watu hata 300 hapo hajamsaidia?
Kweli. Kwa Mashabiki alionao Mond,kupost wimbo wa Kiba ni support kubwa,na ndio industry tunayoihitaji,sio bifu zisizo na maana.Unatakiwa kuwaza kwa mapana kabla hujaandika.
Unasema hamsaidii kivipi?
Unataka apewe pesa?.
Kumbuka kupost huo wimbo umetufanya na sisi tujue kuwa Kiba ametoa wimbo tuutafute.
Huu ni msaada mkubwa mno.
Diamond ana wafuasi wengi ndani na nje ya nchi zaidi ya watu 10m wanamfuatilia.
Hivyo amemtangazia kazi yake kwa watu zaidi ya 10m.
Katika hao wakidownload watu hata 300 hapo hajamsaidia?
SahihiKweli. Kwa Mashabiki alionao Mond,kupost wimbo wa Kiba ni support kubwa,na ndio industry tunayoihitaji,sio bifu zisizo na maana.
Ukiona level hii ujue hawashindani tena ameona wazi si mshindani wake…Salaam Wakuu,
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana kwenye Insta Story ya Diamond amepost wimbo wa Alikiba.
Je, uhasama wao umeisha au?
View attachment 2538098
Na kuna muda wanamjadili brother Mshana JrMaajabu unayo wewe. Mungu mwenyewe anampenda shetani na kumsifia ujaambiwa kwenye vitabu vya dini.
Nadhani ni kinyume chake; Ray alikuwa maarufu kwasababu alikuwa anashindanishwa na Kanumba. Alikiba akipatana na Diamond, kitakachoshindanishwa ni mziki mzuri baina ya wasanii wote kwa ujumla, na sio baina ya wao wawili tena kwasababu kinachowafanya watu wawashindanishe sana ni ile perception kwamba jamaa wana bifu.Ali Kiba akikubali tu kupatana na Mond amekwisha.
Na siku Mond akifa na safar ya Kiba kimzik inaishia hapo.
Kumbuka Ray Kigosi alivyokufa kisanaa baada ya Kanumba kufa.