KERO MAAJABU! Dom-Iringa, mashimo kama yote. Mkandarasi bado yupo site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mafungu yenyewe ya maintenance hakuna Mkandarasi akifanya kazi anakopwa kulipwa ni majaaliwa wengi wanazikimbia kazi za Tanroads zimekuwa kichefuchefu sio siri iko wazi. Fanya kazi ila Malipo utasubirishwa sana Mtaasisi za Fedha zenyewe kwa sasa zinaogopa sana kufanya Biashara na Watu walio na mikataba na Tanroads, Tarura na hata mamlaka za maji.
 
Kama kazi za labour based za 86 milion zililipwa miezi mitano baada ya mkataba kuisha, kuna kazi hapo 😀😀
 
Hii road walipaka lami juu ya mchanga .... N mashimbo kilaa mita kadhaa kama wanaishi panya..
Hahaha nimecheka kwa sauti.

Ila inahuzunisha ndo maana maza siku hizi hajali hana time kwasababu mitanzania inakera sana.

Na hata asiendelee kupigania shilingi kuendelea kuimarika dhidi ya dola kwasababu mibongo ni mipumbavu sana.
 
Barabara imesababisha abiria na madereva kupata matatizo ya kiafya kama bawasiri (kurushwa rushwa kwa siti zisizo na sponge kwenye mashimo),sukari, moyo mpana na presha za kupanda. Mamlaka liangalie hili
Japo ni moja ya barabara iliyo busy sana maana inasafirisha bidhaa nyingi nzito nzito kama magogo, mizigo ya kwenda nchi jiran etc..
Na mabasi ya Abiria jaman aiseee hii ndo njia inayoongoza kuwa na gari mbovu mbovu ambazo hata swala la usafi halisimamiwi vizuri.
Yaan unalipa nauli kwanzia 70,000 nakuendelea alafu gari lina Mende kunguni na wadudu wengine wasiojulikana.
Usalama wa kiafya abiria hauzingatiwi. Watu wanasafiri kama wakimbizi wa Vita
 
Hahaha nimecheka kwa sauti.

Ila inahuzunisha ndo maana maza siku hizi hajali ana time kwasababu mitanzania inakera sana.

Na hata asiendelee kupigania shilingi kuendelea kuimarika dhidi ya dola kwasababu mibongo ni mipumbavu sana.
Ukipita huko utacheka mkuu Watanzania tunajiibia wenyewe..
 
Barabara imesababisha abiria na madereva kupata matatizo ya kiafya kama bawasiri (kurushwa rushwa kwa siti zisizo na sponge kwenye mashimo),sukari, moyo mpana na presha za kupanda. Mamlaka liangalie hili
Japo ni moja ya barabara iliyo busy sana maana inasafirisha bidhaa nyingi nzito nzito kama magogo, mizigo ya kwenda nchi jiran etc..
Na mabasi ya Abiria jaman aiseee hii ndo njia inayoongoza kuwa na gari mbovu mbovu ambazo hata swala la usafi halisimamiwi vizuri.
Yaan unalipa nauli kwanzia 70,000 nakuendelea alafu gari lina Mende kunguni na wadudu wengine wasiojulikana.
Usalama wa kiafya abiria hauzingatiwi. Watu wanasafiri kama wakimbizi wa Vita
Barabara hii ni mfano wa barabara mbovu duniani
 
Hao ndio wanataka wapewe kuendesha UDART, wakandaradi wa ndani ni tatizo kubwa sana nchi hii.
Wakandarasi tuendelee kuagiza nje, hawa wa ndani wepelekwe Zimbabwe huko.

HAkuna mradi mkandarasi wa ndani anaweza hata wa kujenga choo cha shimo wataharibu tu.
 
Back
Top Bottom