KERO MAAJABU! Dom-Iringa, mashimo kama yote. Mkandarasi bado yupo site?

KERO MAAJABU! Dom-Iringa, mashimo kama yote. Mkandarasi bado yupo site?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hahaha nimecheka kwa sauti.

Ila inahuzunisha ndo maana maza siku hizi hajali ana time kwasababu mitanzania inakera sana.

Na hata asiendelee kupigania shilingi kuendelea kuimarika dhidi ya dola kwasababu mibongo ni mipumbavu sana.
Hyo barabara tokea wanaijenga nlijuwa tu huko mbeleni majangaa na haitoudumu

Ova
 
Mafungu yenyewe ya maintenance hakuna Mkandarasi akifanya kazi anakopwa kulipwa ni majaaliwa wengi wanazikimbia kazi za Tanroads zimekuwa kichefuchefu sio siri iko wazi. Fanya kazi ila Malipo utasubirishwa sana Mtaasisi za Fedha zenyewe kwa sasa zinaogopa sana kufanya Biashara na Watu walio na mikataba na Tanroads, Tarura na hata mamlaka za maji.
Noma sana....
 
Weka kapicha cha kusindikiza uzi basi......
 
Back
Top Bottom