Mafungu yenyewe ya maintenance hakuna Mkandarasi akifanya kazi anakopwa kulipwa ni majaaliwa wengi wanazikimbia kazi za Tanroads zimekuwa kichefuchefu sio siri iko wazi. Fanya kazi ila Malipo utasubirishwa sana Mtaasisi za Fedha zenyewe kwa sasa zinaogopa sana kufanya Biashara na Watu walio na mikataba na Tanroads, Tarura na hata mamlaka za maji.