Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35 kwenye miezi yake sita.
Sasa hii si karibu asilimia zote 100 ya workforce yote iliyopo nchini na tusingehangaika kwa kuwapeleka wamachinga maana automatically wangekuwa wameajiriwa na 'Ajira za Samia'
Yaani miezi sita Tanzania imeajiri zaidi ya 50% ya idadi yake yote, miezi 12 hadi watoto na wazee na walioajiriwa zamani wataajiriwa!
========
"Katika kipindi kifupi cha mheshimiwa Rais Samia uwekezaji mkubwa Tanzania umefanyika wa dola bilioni 3.5 ambapo kwa haraka haraka ajira zaidi ya milioni 35 zimekwenda kuzaliwa, sasa hiyo ni miezi sita. Mheshimiwa Rais endelea kuupiga mwingi, kiwanja umekidhibiti vizuri una baraka zote za chama"
Shaka Hamdu Shaka