KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Unaweza kuwa na mwili mkubwa kama tembo lakini ukawa na akili ndogo kama sisimizi.Inategemeana na tafsiri yake, ila kama mpaka wapiga debe amewajumlisha humo basi hakuna shida.
Mil.3.5 na sio mil.35Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35 kwenye miezi yake sita.
Sasa hii si karibu asilimia zote 100 ya workforce yote iliyopo nchini na tusingehangaika kwa kuwapeleka wamachinga maana automatically wangekuwa wameajiriwa na 'Ajira za Samia'
Yaani miezi sita Tanzania imeajiri zaidi ya 50% ya idadi yake yote, miezi 12 hadi watoto na wazee na walioajiriwa zamani wataajiriwa!
"Katika kipindi kifupi cha mheshimiwa Rais Samia uwekezaji mkubwa Tanzania umefanyika wa dola bilioni 3.5 ambapo kwa haraka haraka ajira zaidi ya milioni 35 zimekwenda kuzaliwa, sasa hiyo ni miezi sita. Mheshimiwa Rais endelea kuupiga mwingi, kiwanja umekidhibiti vizuri una baraka zote za chama"Mil.3.5 na sio mil.35
Zitakwenda au zimekwenda kuzalishwa?"Katika kipindi kifupi cha mheshimiwa Rais Samia uwekezaji mkubwa Tanzania umefanyika wa dola bilioni 3.5 ambapo kwa haraka haraka ajira zaidi ya milioni 35 zimekwenda kuzaliwa, sasa hiyo ni miezi sita. Mheshimiwa Rais endelea kuupiga mwingi, kiwanja umekidhibiti vizuri una baraka zote za chama"
Shaka
Alafu tunajiuliza kwann Tz ni maskini daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35 kwenye miezi yake sita.
Sasa hii si karibu asilimia zote 100 ya workforce yote iliyopo nchini na tusingehangaika kwa kuwapeleka wamachinga maana automatically wangekuwa wameajiriwa na 'Ajira za Samia'
Yaani miezi sita Tanzania imeajiri zaidi ya 50% ya idadi yake yote, miezi 12 hadi watoto na wazee na walioajiriwa zamani wataajiriwa!
========
"Katika kipindi kifupi cha mheshimiwa Rais Samia uwekezaji mkubwa Tanzania umefanyika wa dola bilioni 3.5 ambapo kwa haraka haraka ajira zaidi ya milioni 35 zimekwenda kuzaliwa, sasa hiyo ni miezi sita. Mheshimiwa Rais endelea kuupiga mwingi, kiwanja umekidhibiti vizuri una baraka zote za chama"
Shaka Hamdu Shaka
Kumbe na yeye ni kama mr #dishlimetilt? Nimeshakula ban 2 kwa hiyo hashtag peke yake!Kimkosoa Shaka naogopa Sana
Nimetoka kula ban juz TU sababu ya kumkosoa huyu Shaka
Mods muwe mnatafakar hizi bani zenu jamani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Duuh[emoji1787][emoji1787]Ajira mnaitafsiri vipi?
Halmashauri nilipo imetoa mikopo ya pikipiki 20 kwa wanavikundi 20 ndani ya miezi hii minne.
Kifupi tayari serikali imetoa ajira kwa hao wanavikundi 20 kwa halmashauri moja.
Vikundi vingine pia vimepewa pesa kulingana shughuli zao kama mafundi seremala, mafundi kushona,wafyatua tofari n.k.
Hizi zote ni ajira. Lakini tatizo letu tuamini ajira ni nafasi za kuwa katika ofisi fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuamini mtu wa jinsia ya tatu kamweTanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya Rais Samia Tanzania imepata uwekezaji wa dola bilioni 3.5 ambapo imezaa ajira zaidi ya milioni 35 kwenye miezi yake sita.
Sasa hii si karibu asilimia zote 100 ya workforce yote iliyopo nchini na tusingehangaika kwa kuwapeleka wamachinga maana automatically wangekuwa wameajiriwa na 'Ajira za Samia'
Yaani miezi sita Tanzania imeajiri zaidi ya 50% ya idadi yake yote, miezi 12 hadi watoto na wazee na walioajiriwa zamani wataajiriwa!
========
"Katika kipindi kifupi cha mheshimiwa Rais Samia uwekezaji mkubwa Tanzania umefanyika wa dola bilioni 3.5 ambapo kwa haraka haraka ajira zaidi ya milioni 35 zimekwenda kuzaliwa, sasa hiyo ni miezi sita. Mheshimiwa Rais endelea kuupiga mwingi, kiwanja umekidhibiti vizuri una baraka zote za chama"
Shaka Hamdu Shaka
ACHA KUPOTOSHA PITIA HIITanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.