ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tukiongelea matatizo CCM ina leta comparison za duniani huko ni hivi hivi, tukija kwenye Uhuru na democracy mnasema hii nchi ni yetu tuna mambo yetu sio lazma tufanye kama wengine. . hovyo kabisaAjira ni tatizo la dunia nzima wala usijidanganye kuwa Chadema wakibahatika kuchukua nchi watamaliza tatizo la ajira Tanzania.
Pia wapinzani mmekua mkilia kuwa katiba inakandamizwa wakati huo huo unasahau kuwa katiba imetoa uhuru kwa mwananchi yeyote kuchagua kuwa mwanachama wa chama chochote kadri itakavyompendeza.
Mnataka tuwajibu kile mnachotaka kukisikia hilo haliwezekani comrade pole tuvumiliane tuTukiongelea matatizo CCM ina leta comparison za duniani huko ni hivi hivi, tukija kwenye Uhuru na democracy mnasema hii nchi ni yetu tuna mambo yetu sio lazma tufanye kama wengine. . hovyo kabisa
Je wao watakupa?Mimi mtu anae shabikia CCM simpi hata mia yangu
Nikafanye research ili kufahamu nini?! Btw, tangu lini Watete wa Magu mkaweza kuongea kwa kutumia data?!Kuhusu kada ya madaktari na walimu nenda kafanye research ya kutosha ndo uje tujadiliane. Nakuahidi saa sita mchana nitakuja na data za kutosha.
Najiandaa kwenda kwenye ujenzi wa taifa siwezi kuweka kila kitu kwa muda huu.
Hiyo ni kutoka Habari Leo May 21, 2014.Inaelezwa kwamba kutokana na mahitaji ya sayansi na hisabati yanayozidi kuongezeka siku hadi siku, kwa mfumo wa sasa wa kuandaa walimu, italichukua taifa siyo chini ya miaka 13 kuweza kupata walimu wa kuziba upungufu uliopo katika masomo hayo.
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi za mwaka 2013/14, mahitaji ya jumla ya walimu wa masomo ya sayansi na hisabati kwa shule za msingi na sekondari ni 41,065, lakini waliopo ni walimu 14,067 pekee na hivyo kuwepo kwa upungufu wa walimu 26,998.
Kwani ni wapi mtoa mada kasema CHADEMA ikichukua Nchi itamaliza tatizo LA ajira?Ajira ni tatizo la dunia nzima wala usijidanganye kuwa Chadema wakibahatika kuchukua nchi watamaliza tatizo la ajira Tanzania.
Pia wapinzani mmekua mkilia kuwa katiba inakandamizwa wakati huo huo unasahau kuwa katiba imetoa uhuru kwa mwananchi yeyote kuchagua kuwa mwanachama wa chama chochote kadri itakavyompendeza.
Umemaliza chief.Suala la kuishakinia CCM lina mambo mengi:
- Mambo ya udini ( may be anasali kwa Gwajima, na kwake Gwajima ni kama mungu )
- Ukabila ( may be ni msukuma na hivyo analazimika kumsurpot anaeongea Kisukuma hata kama anamuumiza
- Labda ni msukule wa msanii fulani, na mfano usimtegemee [
innocent dependent au Chinga One wakashabikia chama tofauti na cha mungu wao
- Pili kuna suala la chuki tu, mtu hapendi chama shindani au mgombea wake
- Tatu ni mazoea tu kama ya chama cha baba na mama, so na yeye yumo tu
- Kuna uzwazwa tu mtu hajui hata matatizo aliyonayo nani kasababisha, so yupoyupo kama shabiki la mpira
Ni upumbavulizationUnawashangaa vijana wa Tz Nenda Zimbabwe raia wa nchi ile sijui ZANUPF imewapa Nini ni zaidi ya mapoyoyo wana njaa bado wanashabikia ZANUPF
Tatizo ni akili ndogo ya Magufuli. Sijui alipataje ile PhD yake.Ni kweli ajira ni tatizo la dunia mzima lakini ni taifa la kipumbavu peke yake ndiyo litaacha waalimu na madaktari mtaani wakati shule na hospitali hazina wanataaluma husika lakini hapo hapo taifa linapoteza millions of dollars kuwekeza kwenye crazy projects kama ndege huku likijigamba linanunua ndege kwa cash!
Kwa miaka nenda rudi nchi ina uhaba mkubwa wa Walimu wa Sayansi! Baada ya kila njia kushindikana, ikawa introduced 3 years Special Diploma (Science & Maths) ili kukabiliana na uhaba huo!
Magu kaingia, kaifuta ile special diploma; watu tukawa tunasubiria alternative plan, miaka 5 inakata sasa no plan!!!
Hakuna taifa duniani linaweza kufanya ujinga kama huo unless liwe na leadership kama ya Magufuli na ndio maana hadi kesho hawajaona umuhimu wa ku-cover hizo kada muhimu kwa ustawi wa jamii!
Hivi hadi sasa akili yenu inawatumeni kuwa ukisha soma elimu ya juu ni lazima serikali iwaajirini?? Kama fikra ni hizo, inabidi mngojee peponi maana kwenye dunia ya sasa dhana hiyo imeyayuka kabisa kwani hata huko dunia ya kwanza ni vivo hivyo.Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection.
Serikali si lazima ikuajiri lakini inapaswa kutengeneza mazingira ya vijana kuajiriwa tena si kama vibarua bali ajira rasmi. Ajira ni haki ya kijana yeyote ndio maana watoto wa viongozi karibu wote ni waajiriwa.
Sasa vijana hawa jobless sijui wamerogwa na nani, hawana kazi guarantee lakini wanakisifia chama kilichoua ndoto zao. Biashara au kilimo vinafana ukiwa na kazi au mtaji mnono.
Watoto wa viongozi wa umma wenye mitaji mikubwa watoto wao wanaajiriwa katika nafasi za kiuongozi . Ila wewe unawaambia watoto wa maskini wakajiajiri kuuza viatu chini Kariakoo.Hivi hadi sasa akili yenu inawatumeni kuwa ukisha soma elimu ya juu ni lazima serikali iwaajirini?? Kama fikra ni hizo, inabidi mngojee peponi maana kwenye dunia ya sasa dhana hiyo imeyayuka kabisa kwani hata huko dunia ya kwanza ni vivo hivyo.
Mimi ninaona hizo ni chuki za kimasikini ambazo ni donda ndugu kwa vijana.Watoto wa viongozi wa umma wenye mitaji mikubwa watoto wao wanaajiriwa katika nafasi za kiuongozi . Ila wewe unawaambia watoto wa maskini wakajiajiri kuuza viatu chini Kariakoo.
Wewe nawe ni maajabu pia .
Haya niambie juhudi walizoziweka CCM za kumfanya kijana ajiajiri na afurahie kazi yake?
Ndio anatafutia ajira huko usijeshangaa akawa DASKuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection.
Serikali si lazima ikuajiri lakini inapaswa kutengeneza mazingira ya vijana kuajiriwa tena si kama vibarua bali ajira rasmi. Ajira ni haki ya kijana yeyote ndio maana watoto wa viongozi karibu wote ni waajiriwa.
Sasa vijana hawa jobless sijui wamerogwa na nani, hawana kazi guarantee lakini wanakisifia chama kilichoua ndoto zao. Biashara au kilimo vinafana ukiwa na kazi au mtaji mnono.
Wanaamini ukishabikia ccm ni rahisi kupata connection za ajiraBasi itakuwa kuna upepo wanapuliziwa bila ya wao kujua that's why hawajielewi.
Ndio anatafutia ajira huko usijeshangaa akawa DAS
Mkuu mi nlisoma na Julius Kalanga, yeye kawa mbuge wa Monduli mi napambana na hali yangu. Haya mambo yapo wanabebana haoHaya ni mawazo ya kipumbavu. Unaumizwa , unaishi kwenye chumba kimoja kama store kichwani una degree unaishabikia CCM ili ukumbukwe siku moja.
Kuna jamaa yangu ana degree ya ualim anatembeza nguo afu anashabikia ccm asa kila akinambiaga ana shda hua simtoi yeye hua hajui kosa lakeMimi mtu anae shabikia CCM simpi hata mia yangu