Uchaguzi 2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM



Kama ni hivyo , waambie CCM waweke Tume huru ya Uchaguzi , ili maneno yako yawe ni kweli
 


Ungalimwambia Jecha hayo maneno yako
 
CCM haitaondoka madarakani kwa kura bali kwa vita na mapambano ya kumwaga damu kati ya majeshi ya serikali dhidi ya vikundi vya kijasusi cha msituni kikichagizwa na waasi wa kijeshi!!!miaka ya 2040/2050!!! hakuna cha tume huru wala demokrasia nchini!!!!
 
Pamoja na ujinga wooote uliyobwabwaja lakini fanya uchunguzi na ubaini kama kweli wagombea wanaopitishwa na vyama vya upinzani wanakidhi kuwa rais wa JMT?

Chukulia uchaguzi mkuu wa 2015 wagombea urais waliyosimamishwa na vyama vya upinzani ni nani unaeona alistahili kuchaguluwa kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ilinzi na usalama wa nchi yetu?

1. Edward Lowasa
2. Anna mgwila
3. Dovutwa
4. Ibrahim Lipumba
NK

Wewe ungemchagua nani kati ya hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe atakuwa amestaafu
 
Dada mwaka 2015 ulikuwa unajitambua? Ulisikia mgombea wa Urais wa Chadema na Mwenyekiti wa Maisha Mbowe Mugabe waliposema kuwa CCM isiposhindwa 2015 then itachukua zaidi ya miaka 50 kuitoa madarakani. Sasa usipoteze muda wako kujiulizauliza eti CCM itaondoka baada ya miaka 15. CCM bado ipo sana labda baada ya miaka 100 kama tutapata chama mbadala siyo hizi saccos za kina Mbowe!
 
Akikujibu nitag
 
Tatizo katiba tu kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuendelea na tume hii ya uchaguzi CCM "itashinda" milele na siyo miaka 15 ijayo!
 
Kwa TUme hii ya uchaguzi hata watu wote musipoipigia CCM, CCM itashinda tu. Mfano hai ni uchaguzi wa serikali za mitaa. Wangapi walipiga kura?
 
Tuliwahamini chadema kidogo tu, wakamuzia chama Lowassa na genge lake. Hatuna hakika kama tutawapa nchi hawatauza Kwa wazungu, kama waliweza kuhuza mswahili akija mzungu au muhindi wanatuuza tu maana wana tamaa ya mshiko, kila wanalialia eti wabunge wao wananunuliwa kama bidhaa za sokoni harafu tuwape nchi. Uwezi kuonja sumu Kwa kuilamba. Bora tukae na ccm yetu, ni zimwi likujualo alikuli likakumaliza. Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…