Uchaguzi 2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

Kwani hao wabunge wa upinzani huwa wanatangazwa na tume ipi? Au wao wametangazwa na hiyo tume huru unayoitaka iwekwe?

Nyumbu ni nyumbu tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mnaogopa kitu gani kuweka Tume huru ikiwa hao wabunge wa Upinzani wanatangazwa na hiyo tume ??

Kima ni nyani tu
 

kuhuza ni kitu gani hicho ??
 
Wa Baba kinehe ?!. Unaamini ktk democracy ?! Unataka ushindani na mtu uliyemfunga mikono na miguu. What kind of democracy ?! Pathetic . Tangu baada ya uchaguzi 2015 mmezuia wapinzani wenu kufanya chochote . Halafu leo unamletea mfumo kandamizi ili mchaguane humo ?! AIBU.

Ccm na viongozi wake kwa miaka hii 59 wamefanya vizuri . Fine . Tuwe na democracy halisi ili mnyonge ashindwe kwa unyonge wake si kwa maelekezo . Mnachokiogopa wapinzani wakichaguliwa ni hicho kinachowazuia kuruhusu mfumo mzuri wa kuchaguana ili kuunda serikali .

Odhis *
 
Unataka wachague wazee wa kususa chini ya dj zero?
 
Bashiru keshasema hakuna rushwa, t-shirt, khanga Wala kofia awwmu hii sababu ya Hali ngumu
 

Tathmini yangu tanzania kila uchao inabadilika watu kuwa na uelewa juu ya mfumo ulipo wa kuendesha nchi watu ambao ni asilimia kubwa wamejifunza watawala hasa wa Watanzania wanauza maneno tu kwa wananchi wao. Kule zanzibar hila zote zimeshaisha siku ya kura watu huwa na lao la moyoni.

Hilo la kushinda kwa damu nadhani ndio changamoto inayohitaji kufanyiwa kazi ni upinzani na wananchi kwa muda huu kabla ya uchaguzi lakini nina matumaini sana mabadiliko yanakuja Tz tena kwa nguvu zote.
 
1995 na 2015 Wananchi hawakuchagua CCM...mabavu na wizi tu
 
Mkuu tangu 2010 ccm haijawahi kuchaguliwa na wananchi. Hilo sanduku la kura huwekwa tu kama formality, ionekane kama kuna demokrasia. Lakini kiukweli wanaochagua ni tume wakishirikiana na vyombo vya dora. Ndiyo maana wanasema watadumu miaka 200. Wako sawa kabisa maana wanatumia vyombo wanavyovisimamia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Visingizio vingi sana. Mara tume huru,mara tumezuiwa mikutano,mara Corona virus. Kwa ufupi Jaduong mmeshakwisha.
 
Well said bro!
 
Wananchi hawajawahi kuichagua ccm,ila ccm ndio inayojichagua yenyewe
 

Ww umezungumza kitu ninachosisitiza mara kwa mara. Ukiona chama kimekaa madarakani zaidi ya miaka 30, na kinaendelea kukaa madarakani kwa nguvu ya dola na sio ushawishi, basi machafuko ndio njia pekee ya kukitoa madarakani.
 
Nimeandika tu kuhare maono yangu.
October nikisikia CCM imeshindwa nitashangaa, na nikisikia chama pinzani kimeshinda uchaguzi mkuu nitashangaa pia.
Nawe ni miongoni mwa hao unaowaita kizazi cha Nyerere?Hivi unauhakika CCM huwa inashinda uchaguzi?Tume ya uchaguzi Tanzania ni huru kiasi cha kuwezesha matokeo halali?Kwa nini serikali haipendi kusikia kuhusu Katiba ya Wananchi na Tume Huru ya Uchaguzi kama wana uhakika wa ushindi na wanapendwa?Unamnyima mwanao kitu anachokihitaji tena kwa gharama zake?Tumewakosea nini CCM?
 
Huyo Nyerere hakuwahi kuunda na kuongoza CCM hii tunayoishuhudia sasa.Hii siyo tena kile Chama cha Wakulima na Wafanyakazi kilichozaliwa baada ya kuungana kwa TANU&ASP mwaka 1977 tarehe 05 ya Februari,tulikuwepo na tunaikumbuka vizuri.This one is a Monster who is willing to kill anyaone on her way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…