Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

Aisee kumbe siko peke yangu hayo uliyofanyiwa nilifanyiwa hivyo hivyo. Sema mimi sikujisumbua hata kupiga kimoja nilijua huyu Mtu pengine jana yake tu kashakojolewa na Babu mwingine.
 
Kama una ngiri... Sidhani kama ulilala usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hofu iliyojificha hapo,jaribu kumuweka karibu na mcheki afya zenu...baada ya hapo mambo yaende spidi.
 
Wanawake wengne wanapendaga wabakaj,mi kama nmetumia gharama siwez kumuacha kirahis lazma kipgwe,inaonekana show zako za nyuma zilkuwa hazimfurahish kwahyo hata sku hyo alioona utamchafua tu
 
Wanawake wengne wanapendaga wabakaj,mi kama nmetumia gharama siwez kumuacha kirahis lazma kipgwe,inaonekana show zako za nyuma zilkuwa hazimfurahish kwahyo hata sku hyo alioona utamchafua tu
Hii inaweza kuwa kweli maana siri ya mtu moyoni huwezi kuijua.
 
Ninachoona,

Una papara, nyie ndo dakika tano nyingi ushamaliza kila kitu.

au

Bamia

au

Amekushtukia anaogopa kuuza maisha.

au ni nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina papara ni mpemzi wamhy wa muda mrefu na tunaongea siku zote kwenye simu na maandalizi tulifanya hatukushtukiza.
 
Hivi wewe, akili zetu zote ziko kwenye janga la corona na wewe unatuletea upuuzi wa kichwa cha chini????
 
Hivi wewe, akili zetu zote ziko kwenye janga la corona na wewe unatuletea upuuzi wa kichwa cha chini????
Mr Abunuasi hata ktk janga la korona sio kwamba maisha yanasimama....yanaendelea nivumilie tu mkui wangu.
 
Ishatokea....tulifika kabisa na nishalipia kila kitu..nataka kuanzaa mchezo mchezo naona mtu hana mood...shika shika wapi? Nikaona isiww tabu nikavaa nguo zangu nikamwambia utanikuta kwenye gar...baada ya mda akatoka kanuna,nikawasha gar nikasepa kumwaga town niendelee na mishe zangu..baadae eti ananiuliza ile cheni ya kike iliyokatika niliyoiona kwnye gar yako ni ya nani? Umeanza umalaya ehee?
Nikamuuliza kwanini ukuniuliza pale pale et sikuwa na.mood...hawa viumbe ni umiza kichwa aisee.
 
Lakini mkuu tusiwalaum tu, je ni kweli kulikuwa na cheni kwenye gari yako?
 
mkuu kuna mambo bila shaka yameshawahi kuharibu mood ya bidada, kama unamfikisha mahali wanaita kilele hawezi kukataa dushe lako. hataki kusema tu ukweli ila hiyo pochi inawenyewe ambao akiona tu simu zao tayari analoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…