Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

Inawezekana aliwaza mambo negative kama hali yako ya kiafya, au yeye hali yake siyo au alitaka kukubambikia mimba roho ikawa inamsuta, au lolote lile linaloweza kumtoa kwenye mood. Wewe take it easy usicomplecate, endelea kuwasiliana nae kama unampenda, itafahamika tu.
 
Yaani aninyime game bado nikupongeze kwa kukuchukulia uber! Kila mtu ale alikopeleka unga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Atakuwa na shida na amekuonea hurumaaa.

Isha nitokea manzi alikuwa ananiachia kila kitu ila ku kiss wala kumshika sehemu za hatarii hatakiii.

Ni romance za hapa na palee.

Akaja akasema tuwe marafiki tu. Mimi niko poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu Scofied Kuna sehemu umekosea. Inaonekana umelipia vyote ila yeye hukumlipa!

Sasa nakufahamisha kuwa hisia za wadada wengi wa Sasa huwezi kuzipata through touches, ila zinapatikana kwenye hela tu. Wew ungempapasa na hela uone.

Nenda nae kesho Jmos ufanye kama nilivyokuambia, afu ulete mrejesho.

Kila la kheri.

Lugumya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnakwama wapi vijana? ukiona demu hana mood na wewe umeshalipia Lodge...mtoe mapema halafu uingize chuma kipya ujigongee
 
Nami nakumbuka tukio sawia na hili miaka kadhaa nyuma. Tulielewana na mrembo tukaenda naye out katika hoteli moja ya kifahari. Tuliweza Kula na kunywa. Ilipofika kitu saa tisa alasiri tukakata chumba kizuri kwl. Tulianza romance lkn mrembo akawa na tetezi zake eti ameolewa na hataki kumsaliti mume. Kumbuka tulisafiri kutoka eneo liningine hadi huku kwenye hoteli. Tukavuliana nguo lkn kwa kuvutana. Alidinda kabisa kuvuliwa pichu na nkaonelea isiwe issue. Nlimkubalia kuvaa na nikamsindikiza akaenda zake huku nyege zatisha kuniangamiza kwa kumruhusu bidada kuondoka.
Singerudi kwangu nyumbani kwa vile chumba nilishailipia na bado nilikuwa na ufunguo wa room. Ilibidi nifikirie haraka na nikampigia simu demu mmoja nliiyekuwa nikitania kizembe kwa muda na alikuwa ameanza kunichangamkia hivi. Nilipopiga simu, nikamuomba nimpeleke out na akaniambia nimtumie fare. Mara hiyo hiyo nkatuma. Sikuamini kuwa angekuja nilikokuwa kwa vile it was our first meeting. Baada ya maelekezo. Mrembo akawasili tukajilia chajio,tukawa na usiku full of romance na kesho yake tukapata breakfast murua kwa vile accommodation ilikuwa full board.Tukasepa.
Siku mbili baadaye tulopokutana na yule mke wa mtu aliyeniacha kwa mataa mkahawani, akaanza kujichekeshachekesha eti tupange siku nikajisemea kuwa siku yake itafika tu .
 
mnakwama wapi vijana? ukiona demu hana mood na wewe umeshalipia Lodge...mtoe mapema halafu uingize chuma kipya ujigongee
Nilikuwa nae mmoja tu huyo, nilipomuacha nikabaki mwenyewe. Siwezi kuwa na wengi kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…