Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Kutwa tunapost mapicha ya miundo mbinu ya Kenya ili kuwaelimisha kuhusu nchi yetu, lakini kwa mlivyo mabumumbu bado mnategemea hizo hadithi za huko kitaa. Ndio nimeona kwa hiari, tuwaandalie utalii, mtakula na kunywa na kutembezwa maeneo na kuanzia hiyo siku, bila shaka haya makelele yatakoma.

Sioni haja ya kuendelea kupost mapicha maana mumedumaa sana na hamtokuja kubadilika. Haya hii hapa mojawapo wa stage za Nairobi, ile ya Machakos country bus

26296973.jpg
Duuh hayo mavumbi sasa utadhani stendi ya makambako
 
I have been going to Mombasa every year since 2012. From Arusha to Mombasa (Tahmeed/Simba na mengineyo) sijawahi kuona stand ya Mabasi kama huku TZ (labda Voi). Mabasi mengi yanapark Mwembe tayari barabarani (very dangerous and risky) because there's matatus/tuktuks and bodabodas everywhere. Mabasi mengine huwa yanasimama pale Kenol usiku yanayoenda Nairobi, megine close to Marikiti (on the road) na mengine yana park Mtwapa. Kama kuna stand ya mabasi then they don't use it and i don't know where it is.

Yes, kuna booking offices but that's all i have seen. Its true Mombasa ni pachafu ( i like Mombasa but it is dirty). The past few years naona wameweka magari ya uchafu lakini bado Mombasa ni chafu sana. Barabara ya kwenda Kilifi tokea town after Nyali bridge (pale lights) imejaa uchafu na vibaka especially usiku (ditto Kisauni and Bamburi). Then from Kenol at least kuna usafi kidogo mpaka borabora, After that uchafu mpaka Mtwapa ambapo ndio mwisho wa matatizo, kuna Malaya kila kona, cheap strip clubs, bars etc.

This is the same in Nairobi. Inawezekana kuna stand ya mabasi Nairobi ila sijui ipo wapi. Mabasi mengi (especially yanayoenda coast) yana park kule river road each on its own hata Dar express inayotoka Nairobi kwenda Dar huwa naiona huko, pia kutokana na traffic jam ya Nairobi i don't know why haya Mabasi yanapark town kama kuna stand. Nakumbuka one time i was going to Mombasa from Nairobi, It took us a couple of hours kutoka town mpaka kuingia Mombasa road, so kama kuna stand ya mabasi Nairobi then i don't know where it is and i wonder why they never use it.

The good places in Nairobi & Mombasa are really good, but the bad places very bad, I can not confirm kama ni kweli kuna masikini wengi sana Nairobi & Mombasa ila one thing i have noticed ni kwamba, there are more people begging for Money & Food utakaokutana nao huko kuliko Dar, i guess ni kwa sababu vitu ghali sana compared to TZ.
What umeongea ni real zamani huko tulipokuwa kwenye Communism wao Kenya walikuwa wapo kwenye Capitalism.

Ikawa mambo yote mazuri tulihisi hapo Kenya bt baada ya kubadili policy ya Communism tukaja kuwapiku kwa mambo mengi tu..

Hiyo ya kukosa Stand za Bus ni Kenya nzima ,Nairobi ndiyo kabisa hawana hizo Stand...na wizi ni mkubwa ktk City Centre kule kwenye mitaa yenye Statue ya Thom Mboya na pana Park ambazo watu hukaa tu from morning to evening without Lunch yaani wako na SHIDA mno.

Km hujafika Kenya utaongopewa mno na Wakenya kwani wao ni wazuri mno kwa confidence..
 
Ni kweli kabisa mombasa hakuna bus stage mabasi yote yakiwemo tahmeed,modern cost,mash poa,oxygen etc yanabeba abiria pale mwembe tayari kwenye petrol stations
 
Leo hata ukiona stage bus ya nairobi yani inazidiwa hata stend ya shinyanga yani ni uchafu jiji zima stage yake ovyo haifai kabisa hahahhhahahhahahaha yani hawa jamaa hua sifa za bure tu hahahhahah
 
Na ulichosema ni sawa kabisa from lungalunga to mombasa 90km barabara yote ina holes mbovu sana haifai
holiday-travel-tips-Kenya-hotel-Africa-safari-Nakuru-Road.jpg
images (5).jpg
 
Magufuli ashaongeza kivuko kingine kipya kinaitwa MV kazi sasa viko vitatu na zote zinapiga kazi zote tatu
2 (1).jpg
 
Kwa sifa tu hawajambo hehehhehe
umetapika sana...ebu lianzishe la msa vs mwanza...naona unajitapa kila mahali.mbona uandike kwa mate ilhali wino uko..libwage ape tuone kama hamtakimbiana
 
umetapika sana...ebu lianzishe la msa vs mwanza...naona unajitapa kila mahali.mbona uandike kwa mate ilhali wino uko..libwage ape tuone kama hamtakimbiana
Anzisha hata wewe twende kazi maana mumeanzisha kisumu tumewaambia tulete arusha au tanga au zanzibar au mbeya naona kimya hawaongei hhahaahahhahaha munajifanya mabubu safari hiiii tutakula sahani moja mpaka tufike migori 😀😀😀😀😀
 
Anzisha hata wewe twende kazi maana mumeanzisha kisumu tumewaambia tulete arusha au tanga au zanzibar au mbeya naona kimya hawaongei hhahaahahhahaha munajifanya mabubu safari hiiii tutakula sahani moja mpaka tufike migori 😀😀😀😀😀
infact changanya mwanza na iyo arusha then tucompete na msa...
 
infact changanya mwanza na iyo arusha then tucompete na msa...
Jiamini basi mbona hujiamini tuliwaambia nairobi kisumu na mombasa kwa dar na hamutoboi sasa Mwanza wewe hutoki hehhehhheh alaf arusha kwa kisumu ndio kabisa ahhahahahaha au niwape tanga maana bado kuna Zanzibar hahhaahahhah tutakula sahani moja mpaka tufike migori na homabay hahahhahahahah
 
Jiamini basi mbona hujiamini tuliwaambia nairobi kisumu na mombasa kwa dar na hamutoboi sasa Mwanza wewe hutoki hehhehhheh alaf arusha kwa kisumu ndio kabisa ahhahahahaha au niwape tanga maana bado kuna Zanzibar hahhaahahhah tutakula sahani moja mpaka tufike migori na homabay hahahhahahahah
13109021_1714632302144118_279168666_n.jpg
 
Back
Top Bottom