Duuh hayo mavumbi sasa utadhani stendi ya makambakoKutwa tunapost mapicha ya miundo mbinu ya Kenya ili kuwaelimisha kuhusu nchi yetu, lakini kwa mlivyo mabumumbu bado mnategemea hizo hadithi za huko kitaa. Ndio nimeona kwa hiari, tuwaandalie utalii, mtakula na kunywa na kutembezwa maeneo na kuanzia hiyo siku, bila shaka haya makelele yatakoma.
Sioni haja ya kuendelea kupost mapicha maana mumedumaa sana na hamtokuja kubadilika. Haya hii hapa mojawapo wa stage za Nairobi, ile ya Machakos country bus
Mji ukishachanganyika na wasomali unategemea uwe msafi?Pi monbasa ni mji mchafu sana
What umeongea ni real zamani huko tulipokuwa kwenye Communism wao Kenya walikuwa wapo kwenye Capitalism.I have been going to Mombasa every year since 2012. From Arusha to Mombasa (Tahmeed/Simba na mengineyo) sijawahi kuona stand ya Mabasi kama huku TZ (labda Voi). Mabasi mengi yanapark Mwembe tayari barabarani (very dangerous and risky) because there's matatus/tuktuks and bodabodas everywhere. Mabasi mengine huwa yanasimama pale Kenol usiku yanayoenda Nairobi, megine close to Marikiti (on the road) na mengine yana park Mtwapa. Kama kuna stand ya mabasi then they don't use it and i don't know where it is.
Yes, kuna booking offices but that's all i have seen. Its true Mombasa ni pachafu ( i like Mombasa but it is dirty). The past few years naona wameweka magari ya uchafu lakini bado Mombasa ni chafu sana. Barabara ya kwenda Kilifi tokea town after Nyali bridge (pale lights) imejaa uchafu na vibaka especially usiku (ditto Kisauni and Bamburi). Then from Kenol at least kuna usafi kidogo mpaka borabora, After that uchafu mpaka Mtwapa ambapo ndio mwisho wa matatizo, kuna Malaya kila kona, cheap strip clubs, bars etc.
This is the same in Nairobi. Inawezekana kuna stand ya mabasi Nairobi ila sijui ipo wapi. Mabasi mengi (especially yanayoenda coast) yana park kule river road each on its own hata Dar express inayotoka Nairobi kwenda Dar huwa naiona huko, pia kutokana na traffic jam ya Nairobi i don't know why haya Mabasi yanapark town kama kuna stand. Nakumbuka one time i was going to Mombasa from Nairobi, It took us a couple of hours kutoka town mpaka kuingia Mombasa road, so kama kuna stand ya mabasi Nairobi then i don't know where it is and i wonder why they never use it.
The good places in Nairobi & Mombasa are really good, but the bad places very bad, I can not confirm kama ni kweli kuna masikini wengi sana Nairobi & Mombasa ila one thing i have noticed ni kwamba, there are more people begging for Money & Food utakaokutana nao huko kuliko Dar, i guess ni kwa sababu vitu ghali sana compared to TZ.
Kwa sifa tu hawajambo hehehheheKumbe jamaa bure kabisa
umetapika sana...ebu lianzishe la msa vs mwanza...naona unajitapa kila mahali.mbona uandike kwa mate ilhali wino uko..libwage ape tuone kama hamtakimbianaKwa sifa tu hawajambo hehehhehe
Anzisha hata wewe twende kazi maana mumeanzisha kisumu tumewaambia tulete arusha au tanga au zanzibar au mbeya naona kimya hawaongei hhahaahahhahaha munajifanya mabubu safari hiiii tutakula sahani moja mpaka tufike migori πππππumetapika sana...ebu lianzishe la msa vs mwanza...naona unajitapa kila mahali.mbona uandike kwa mate ilhali wino uko..libwage ape tuone kama hamtakimbiana
infact changanya mwanza na iyo arusha then tucompete na msa...Anzisha hata wewe twende kazi maana mumeanzisha kisumu tumewaambia tulete arusha au tanga au zanzibar au mbeya naona kimya hawaongei hhahaahahhahaha munajifanya mabubu safari hiiii tutakula sahani moja mpaka tufike migori πππππ
Jiamini basi mbona hujiamini tuliwaambia nairobi kisumu na mombasa kwa dar na hamutoboi sasa Mwanza wewe hutoki hehhehhheh alaf arusha kwa kisumu ndio kabisa ahhahahahaha au niwape tanga maana bado kuna Zanzibar hahhaahahhah tutakula sahani moja mpaka tufike migori na homabay hahahhahahahahinfact changanya mwanza na iyo arusha then tucompete na msa...
Jiamini basi mbona hujiamini tuliwaambia nairobi kisumu na mombasa kwa dar na hamutoboi sasa Mwanza wewe hutoki hehhehhheh alaf arusha kwa kisumu ndio kabisa ahhahahahaha au niwape tanga maana bado kuna Zanzibar hahhaahahhah tutakula sahani moja mpaka tufike migori na homabay hahahhahahahah
Twende kazi fungua thread nikuanzishie noma sasa hvi