Maajabu: Kamati yataka Malinzi apitishwe bila kuwepo

Kwani kwenye huo "usaili" wanafanya nini hasa? Ni mtu kuleta vyeti vyake tu na hakuna kupigwa maswali ya hapa na pale? Kama ni submission ya vyeti tu, Malinzi asinyimwe haki yake. Kama ikifika muda wa kampeni na upigaji kura bado yupo ndani, then itakuwa imekula kwake
 
Hamjawajua wana kamati,wanajiongezea Siku za kula posho..kila kitu kipo wazi busara zinatoka wap?
 
Sasa twaelewa kwamba TZ kumeoza kila sehemu, wanataka mjumbe ambaye hajapitia usahili, yuko rumambe kwa tuhuma za wizi!
Aibu, hapa hata tukimwomba Mungu atatushangaa sababu hata kwa akili ya mtoto tu yajuwa ukweli...
 
Hatumtaki huyo malinzi wao hicho sio chama chao apigwe chini tu
 
Ni TFF pekee inayoendesha usaili wa aina hiyo
 
Sasa twaelewa kwamba TZ kumeoza kila sehemu, wanataka mjumbe ambaye hajapitia usahili, yuko rumambe kwa tuhuma za wizi!
Aibu, hapa hata tukimwomba Mungu atatushangaa sababu hata kwa akili ya mtoto tu yajuwa ukweli...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kwa nini apitishwe wakati hayupo na hakutokea kwenye usahili waache utahira kwani malinzi ndo anaestahili kuongoza peke yake?waache ujuha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…