Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Haha Malinzi ni mshindi hata akiwa jela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apitishwe ili akaibe tena??Hata mimi naunga mkono Malinzi apitishwe japo simkubali.
Cha mapinduzi?Hatumtaki huyo malinzi wao hicho sio chama chao apigwe chini tu
Unapataje kazi ambayo hukuhudhuria usaili wake?Hao ni watuhumiwa bado, sasa kuwanyima nafasi za kugombea, sio fair kama ikionekana nivfigisu tu wamechezewa....
Kipenda roho hula nyama mbichi!!!!!
Ni TFF pekee inayoendesha usaili wa aina hiyoKwani kwenye huo "usaili" wanafanya nini hasa? Ni mtu kuleta vyeti vyake tu na hakuna kupigwa maswali ya hapa na pale? Kama ni submission ya vyeti tu, Malinzi asinyimwe haki yake. Kama ikifika muda wa kampeni na upigaji kura bado yupo ndani, then itakuwa imekula kwake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sasa twaelewa kwamba TZ kumeoza kila sehemu, wanataka mjumbe ambaye hajapitia usahili, yuko rumambe kwa tuhuma za wizi!
Aibu, hapa hata tukimwomba Mungu atatushangaa sababu hata kwa akili ya mtoto tu yajuwa ukweli...
Poa tuApitishwe ili akaibe tena??
Zile hela alizopiga zinafanya kazi now, watu wanataka kumrudisha wakapige nae tenaApitishwe bila kuhudhuria usaili....?