Ndugu jana kuanzia saa moja na nusu jioni Star tv alioneshwa msanii mmoja akihojiwa ambaye mpaka waandishi wa habari alimwambia "yawezekana wewe siyo kanumba ila umefanana naye kila kitu"
Huyu jamaa anafanana marehemu kwanzia kimo,sauti,mwonekano mpaka kucheka na kibaya zaidi anaonekana kaigiza muvi na akina Jenifa ..tulishindwa kuamini,yeyote aliyeona atupe maoni ya hili
Ndugu zangu jana saa 1:30 jioni kupitia Star tv ameonekana mwandishi akimhoji msanii mmoja ambaye yeye alidai si Kanumba japo mpaka mtangazaji aliishia kumwambia "ijapo wewe si Kanumba lakini mmefanana kila kitu"
Huyu jamaa anadai alikuwepo tangia 2000 na anafanana na marehemu kuanzia kimo chake,kucheka,rangi,urefu n.k na ajabu sana tayari ana muvi ambayo kaifanya na akina Jenifa wa uncle JJ ..hayo ndo maajabu!
Sie maswali yetu hapa yalikuwa hivi,huyu jama kasema naye amekuwa msanii tangia 2000 je,mbona hajawahi kuonekana mda wote huo alikuwa wapi?
Pili,huyu hatujamjua jina hiyo jana ila kama unaweza ukapata mawasiliano ya Star tv kuhusu hiyo jana jioni basi wangetusaidia kujua yule ndo nani na kwanini tusiamini pia kanumba anayesemwa kuwatokea watu asiwe sasa kaamua kujitoa hadharani kwa majina na sura za bandia
kama haya manyang'au?
Huyu jamaa anaitwa Philimon Lutwaza ni msanii wa muda mrefu tu ila kma mjuavyo sanaa za Bongo mpaka mtu uonekane smtym inachukua muda jamaa anafanana kwa mbaali ila jinsi anavojiweka personality yake na hasa ukizingatia kifo cha jamaa ndo kimemfanya awe replacement yake ukimuona unaweza dhan ni marehem Kanumba ila kwa jinsi anavojiweka ni wazi anafanana nae na moja ya muvie zake ni afterdeath aliyocheza si kma Kanumba bali ni mdogo wake na Kanumba kma muendelezo wa Uncle J J
Anaitwa Rammy Galis ila hawafanan, ile movie ya mwsho ya power of love ya kanumba wkt inaanza wameonekana pamoja yan kanumba na huyo kaka sa sijui alikuwa ameanza kuigza naye au ni mambo ya computer