Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Ndugu jana kuanzia saa moja na nusu jioni Star tv alioneshwa msanii mmoja akihojiwa ambaye mpaka waandishi wa habari alimwambia "yawezekana wewe siyo kanumba ila umefanana naye kila kitu"
Huyu jamaa anafanana marehemu kwanzia kimo,sauti,mwonekano mpaka kucheka na kibaya zaidi anaonekana kaigiza muvi na akina Jenifa ..tulishindwa kuamini,yeyote aliyeona atupe maoni ya hili