Mwalimu hapo kwenye Taaruma ni TAALUMA na Ufauru ni UFAULU...
halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni UZUSHI.
wananchi wa singida, wanashawishiwa na tundu antipas lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize tundu.
kibogo ,wacha kuona waTZ hawana akili yaani madarasa mawili watoto 500 kila darasa 250? Hebu tueleze ukubwa wa darasa ukoje! Au wanasomea chini ya mwembe?
Mwalimu hapo kwenye Taaruma ni TAALUMA na Ufauru ni UFAULU...
halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni UZUSHI.
ww ndyo bure kabisa cyo kila kitu picha ujue kuna wengne hawana hzo desturi zako zakupigapiga picha afu utakuta aliyeta habari cmu yake haina uwezo wapicha.unaposema uzushi shule ngapi wanafunzi wanakaa chni hawana madawati hawana walimu,hapo dar tu wanafunz wanakaa chn sembuse vijijini huko?amini usiamini hayo mambo yapo na aliyetufikisha hapa ni ccm,nahao misukule bdo wanachagua ccm kwa hongo ya pombe na chumvi
Hiyo shule ni ya misukule.., hakuna mzazi atapeleka mtoto hapo..
hapo ndo mtu bila soni anatangaza kuwa uchumi wa Tanzania unakua na wengine wanaunga mkono.!!!!!!! Maajabu ya dunia yanazidi kuongezeka.
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.
tundu lisu ndio kasababisha matatizo yote ya hiyo shule
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.
hawa jamaa wanankera sana uchumi unakuwa akata deni limefika triliion 27 na wanaongeza maden pamoja na kusamehewa maden kibao