Maajabu katika Shule ya Msingi Manyoni Singida

Maajabu katika Shule ya Msingi Manyoni Singida

Kuna watu humu JF kama wajumbe wa bunge la katiba, hoja hawana wao ni kuporokosha matusi tu. Jifunzeni kujenga hoja hata pale unapotofautiana na mtu.
 
Mwalimu hapo kwenye Taaruma ni TAALUMA na Ufauru ni UFAULU...

halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni UZUSHI.

Weka picha na wewe ili tuamini kweli huamini bila picha, vinginevyo wewe ni MZUSHI ...
 
wananchi wa singida, wanashawishiwa na tundu antipas lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize tundu.

tundulisu anaingiaje hapn?
 
kibogo ,wacha kuona waTZ hawana akili yaani madarasa mawili watoto 500 kila darasa 250? Hebu tueleze ukubwa wa darasa ukoje! Au wanasomea chini ya mwembe?

Mkuu kama ulifuatilia vizuri Taarifa ya Habari ITV ya jana saa 2.00 Usiku na Marudio Saa 5.00 Usiku habari hii ilitolewa kama nilivyoiandika kwa hiyo ninaamini ndivyo ilivyo kwani hata Afisa Elimu alipotoa maelezo yake hakulikanusha hilo.
 
Mwalimu hapo kwenye Taaruma ni TAALUMA na Ufauru ni UFAULU...

halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni UZUSHI.

Tatizo kubwa mlilonalo nyie maCCM huwa mnaangalia TBC tu pekee ambayo huwa inachakachua habari na kuonyesha zile zinye kuonyesha mafanikio ya serikali ya CCM zile ambazo zinaonyesha mabaya ya Serikali hii huwa hawaonyeshi kwa hiyo kuna baadhi ya Taarifa muhimu mnazikosa, Taarifa hii ilionyeshwa kwa ufasaha katika Taarifa ya habari ya jana usiku saa 2 na saa 5 kupitia ITV.

ww ndyo bure kabisa cyo kila kitu picha ujue kuna wengne hawana hzo desturi zako zakupigapiga picha afu utakuta aliyeta habari cmu yake haina uwezo wapicha.unaposema uzushi shule ngapi wanafunzi wanakaa chni hawana madawati hawana walimu,hapo dar tu wanafunz wanakaa chn sembuse vijijini huko?amini usiamini hayo mambo yapo na aliyetufikisha hapa ni ccm,nahao misukule bdo wanachagua ccm kwa hongo ya pombe na chumvi

Mkuu taarifa hii ilionyeshwa kupitia ITV jana saa 2 usiku na Marudio saa 5 usiku kwa hiyo niliamua kutoweka source ya habari ili nione haya maCCM huwa yanaangalia vituo vingine vya TV tofauti na TBC nimegundua huwa hawaangalii na ndio maana wanachoandika ni kukanusha wakati habari ilionekana live.
 
hapo ndo mtu bila soni anatangaza kuwa uchumi wa Tanzania unakua na wengine wanaunga mkono.!!!!!!! Maajabu ya dunia yanazidi kuongezeka.

Sijui kama wakati wanataja takwimu za shule zilivyoongezeka, shule za aina hii nazo zinajumuishwa?!
 
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.

Kwa hiki ulichokiandika inamaanisha Singida yote wanamkubali sana Tundu Lissu kiasi cha kumsikiliza na kuamua kutekeleza yale ayasemayo kwa hiyo kuanzia sasa nampachika cheo cha RAIS WA SINGIDA.
 
tundu lisu ndio kasababisha matatizo yote ya hiyo shule
 
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.

Dah hata kama ww kichaa uwe unawaza kabla hujaandika, maadam kichaa chako kinakuwezesha kuandika; huwa nasema mnatuaibisha lkn cjui hamjielewi ama mnataka tu kupingana na ukweli. Kunapokuwa na tatizo tukubali tutazame mbele tukiazimia kujikomboa na mapungufu kama haya. Ehee, huyu tundu lisu kawa mbunge lini, na tena mbunge wamanyoni!!!!! Miaka yote aliizuia serikali kuleta mabadiliko tangu 1961, Na tena lissu kaiambia serikali isipeleke walim. Embu tuoneni huruma na watz wenzetu, ndo mana tunakusanya kodi ili hawa nao waifaid.
MNATAKA HAWA WACHANGE WAJENGE SHULE WAKATI HATA MLO 1 KWA SIKU UNAWASHINDA? MMEWAWEZESHA KUJIMUDU KIASI GANI MPAKA WAWEZE KURUDISHA SEHEM YA MAFAANIKIO KWA JAMII, KWELI UKISHIBA HUWEZ KUJUA HBR ZA MWENYE NJAA
 
hawa jamaa wanankera sana uchumi unakuwa akata deni limefika triliion 27 na wanaongeza maden pamoja na kusamehewa maden kibao

Ndugu hizo ni takwimu za mwaka jana sasa hivi deni la taifa limefikia Trilion 40 yaani linazidi budget ya mwaka ambayo ni Trillion 20
 
Back
Top Bottom