Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Vipi mzee, huyo anakukosesha usingizi? Ama ni vile yeye anatrend na wewe binadamu upoupo tuu?π€£π€£Hawa wanapenda shobo kuna mmoja mumbi kutoka Nyeri ana-trend kwa kuhimiza Whitehouse ichomwe moto!
Unafki ni pale ana-trend kwa issue za watu wengine lakini huyuhuyu yupo silent on Kariobangi demolitions n Kenya's police brutality towards fellow Kenyans!Vipi mzee, huyo anakukosesha usingizi? Ama ni vile yeye anatrend na wewe binadamu upoupo tuu?π€£π€£
Police brutality and demolitions amongst other evils have never run Short of condemnation in Kenya and by Kenyans, evidence of the same is all over that I don't need to explain to you. Secondly, the US issue has been rebuked from all over across the world's nation of which Kenya and Kenyans aren't exceptional.Unafki ni pale ana-trend kwa issue za watu wengine lakini huyuhuyu yupo silent on Kariobangi demolitions n Kenya's police brutality towards fellow Kenyans!
Wakati wakenya wenzake wameuliwa kwenye lockdown force.Hawa wanapenda shobo kuna mmoja mumbi kutoka Nyeri ana-trend kwa kuhimiza Whitehouse ichomwe moto!
CC:Meanwhile Askari wao wanaua watu 15 na kujeruhi wengine 31 kwa kisingizio Cha Covid 19 hakuna aliyeandamana. Wanaopenda saa kuiga iga..
The original swahili was the "Kingozi", the language of the Pokomos of Kenya, these were the original swahili speakers kaka..*lugha yetu ya kiswahili *am dead π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππ
Kiswahili ni lugha ya mwambao wa East Africa, so hata Kenya ni lugha yao pia hasa maeneo ya Mombasa, Lamu ambapo walianza kuitumia zamani sana.*lugha yetu ya kiswahili *am dead π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππ
Hatufanyi maandamano, tunajua polisi wetu ni katili kuliko wa MarekaniHuko Bongo huwa munafanya maandamano gani?
Acheni unafiki polisi wenu wanaua kuliko wa Marekani, na hamuandamani, mnajali zaidi raia wa Marekani kuliko wenu?'Mabeberu'. Leo naona humu kuna waafrika weusi, 'house niggers', ambao wanaunga mkono unyanyasaji wa hao hao mabeberu dhidi ya wenzao, wenye ngozi nyeusi kama zao. Kisa eti wakenya wameandamana, tena wakenya binafsi, ambao wana uraia pacha(wengi wao), urai wa marekani na wa Kenya pia. Kuna hadi wazungu kule marekani ambao wapo kwenye mstari wa mbele wakiandamana dhidi ya ubaguzi wa watu weusi. Yaani kwa kifupi wanadhihirisha kwamba licha ya ngozi zao nyeupe wana uafrika ndani yao. Zaidi hata ya baadhi ya hawa wenzetu wanaomwaga povu humu, wakiwa hapa hapa barani Afrika! Wanatumia hadi lugha yetu ya kiswahili kwenye maandamano yao kule US. [emoji1]
Wanafik ni nyinyi, sielewi huo ubavu wa kuwakashifu wakenya wanaondamana, kwa sababu zozote zile, mnaupata wapi. Wabongo hata viongozi wenu kwenye ngazi za juu kabisa wakiuwawa, wakipigwa risasi au wakipotezwa huwa mpo mpo tu. Hata serikali yenu ikitafuna hela zenu huwa mnakunja tu mikia kwa uoga. Leo hii mnaruka ruka kisa wakenya ambao wana jamaa zao marekani na wengine ambao wana uraia pacha wameandamana kwasababu ya dhulma dhidi ya watu weusi. Wakenya wameandamana mara nyingi sana dhidi ya ukatili wa Kenya Police.Acheni unafiki polisi wenu wanaua kuliko wa Marekani, na hamuandamani, mnajali zaidi raia wa Marekani kuliko wenu?
Hatuungi mkono polisi kuua mtu yoyote, tunachosema ni hii double standard yenu.
Mi sikatai kwetu Kuna dhuluma, ndio maana hatujashoboka matatizo ya mbali Huko wakati tuna ya kwetuWanafik ni nyinyi, sielewi huo ubavu wa kuwakashifu wakenya wanaondamana, kwa sababu zozote zile, mnaupata wapi. Wabongo hata viongozi wenu kwenye ngazi za juu kabisa wakiuwawa, wakipigwa risasi au wakipotezwa huwa mpo mpo tu. Hata serikali yenu ikitafuna hela zenu huwa mnakunja tu mikia kwa uoga. Leo hii mnaruka ruka kisa wakenya ambao wana jamaa zao marekani na wengine ambao wana uraia pacha wameandamana kwasababu ya dhulma dhidi ya watu weusi. Wakenya wameandamana mara nyingi sana dhidi ya ukatili wa Kenya Police.