pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kenya police force ni criminal enterprise baadala ya kupambana nayo wanahangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wao
Kama hujui ulizia utaambiwa. Huyo hapo sio afisaa, ni mwanaharakati Boniface Mwangi akiwakashifu na kuwaumbua polisi, tena akiwa amevalia sare zao za kazi. Ingawa pia amezungumza kuhusu masaibu yao kazini. Huyo jamaa huwa yupo kwenye mstari wa mbele na wanaharakati wenzake kwenye maandamano karibia yote nchini Kenya. Iwe ni dhidi ya bunge la Kenya, viongozi, ukatili wa polisi, ufisadi n.k, n.k, lazima utampata. Tena maandamano mengine ni yeye ndio huwa anayapanga. Wamemkamata sana kwa ujasiri wake kwenye maandamano tofauti nchini Kenya, ila hawajaweza hata siku moja kumkomesha.