Maajabu: Kenya nao wafanya maandamano kupinga ukatili wa polisi Marekani

Kiswahili ni lugha ya mwambao wa East Africa, so hata Kenya ni lugha yao pia hasa maeneo ya Mombasa, Lamu ambapo walianza kuitumia zamani sana.
Hata wasomali wa Kismayu wana haki ya kusema kwamba Kiswahili ni chao. Walianza kuzungumza kiswahili karne karibia mbili kabla ya hawa wasukuma na jamaa wengine wa bara wanaomwaga povu humu.
 
Wachina bado wanawapiga viboko? Hivi maandamano siku gani
 
Wakenya wanapenda kusifiwa na wazungu wanaona raha wakijisogeza sogeza
 
You're in Kenya fighting Racism in USA, but in your country you are not allowed to marry a BLACK from another tribe.

Punguzeni shobo.
Si ndo hawa hawakwend a kazini baada ya Obama kuwa rais wa Marekani.. SHOBO KWA KWENDA MBELE
 
Tanzania sisi sio waoga ila Mwenzi Mungu katupa ustaarabu


Na pia vile vile tunapenda kuchunga amani yetu hii isipotee kwetu sisi hii amani ni ya thamani Sana kuliko mnavyodhani


Kila mtu atatue matatizo yake kwa namna anayoona yeye ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanganyikiwa, hiyo picha hapo ni ya wakenya na mabango wakiandamana ndani ya nchi ya Kenya dhidi ya ukatili wa Kenya Police.
Kama hivi; Sasa kwasababu umekubali kwamba watanzania huwa mnadhulumiwa na Policcm yenu nieleze au nionyeshe kwenye picha au video siku mlipotetea haki zenu, mkaandamana au mkalaani ukatili wao kwa vitendo. Huo ndio unafik ninaouzungumzia, hamna 'moral authority' yeyote ya kumkashifu mtu yeyote yule. Kutetea haki zenu na kuandamana ni misamiati kwenu.
 
Wabongo wengi jf ni vichwa maji hilo halina shaka.

Kuandamana dhidi ya dhulma ni kitu kizuri bila kujali wapi au nani kadhulumiwa. Lakini Huu unafki umepitiliza, Wakenya wamekua wakiandamana dhidi ya serekali yao na watanzania huwa hatuchelewi kuazianzishia nyuzi za "kumewaka moto huko Kenya" leo hao hao waanzisha nyuzi wamejisahaulisha wanawauliza kwanini hawaandamani?!

Kukejeli wakenya kuandamana dhidi ya dhulma za huko marekani ni kutokujielewa.

- kwanza its the right thing to do, hata kama wangeshindwa kuandamana za nyumbani (tungewakumbusha) ila haimaanishi sasa hili la marekani ni kosa.

- Maandamano ni ya ubaguzi wa watu weusi, wakenya wengi ni weusi kwaiyo inawahusu sawa na invomhusu mtu yeyote mweusi duniani

- kwa asilimia ya raia waliopo nje ya Kenya, wengi wapo marekani manake next time inaweza ikawa ndugu yake au yeye mwenyewe ukizingatia wana uraia pacha!

- solidarity. tuliona kipindi cha mauaji ya garisa, university nyingi marekani walionyesha solidarity nao.

- tushawaona wakiandamana dhidi ya uonevu wa serekali ya M7. Nadhani pia Unavozidi kuskika na kujulikana inakupa soft powers
 
Wakenya wanapenda kusifiwa na wazungu wanaona raha wakijisogeza sogeza
Hizo ndio huwa wanaziita akili za kuazima. Maandamano ya watu weusi yanayoendelea marekani sasa hivi ni dhidi ya unyanyasaji wa wazungu na polisi wao. Sasa wazungu watawasifiaje wanaounga mkono maandamano hayo?
 
Ni heri kunyimwa kila kitu,lakini usinyimwe akili
 
Hizo ndio huwa wanaziita akili za kuazima. Maandamano ya watu weusi yanayoendelea marekani sasa hivi ni dhidi ya unyanyasaji wa wazungu na polisi wao. Sasa wazungu watawasifiaje wanaounga mkono maandamano hayo?
Namaanisha Kenya inapenda kiki za kishamba kuambie nao Kenya wameandamana munaona sifa sababu ya korona police Kenya imeua watu 4 Kama wanaua mamba vile lakini hata hatukuona maandamano ,unataka kutuambia Kenya imeumizwa Sana na kifo Cha mmarekani 1 kuliko raia wa Kenya wanne?. Ndio maana kila cku tuna waambia wakenya wanafanya vitu kwa kufata mkumbo sio kwa kuguswa au kwa maamuzi yao .Kama huo mlingoti wenu eti unasema tumeamua kufungua sababu Nchi zengine zinafungua Kwan korona ya nchi zingine ndio ya Kenya kwahiyo kumbe viongoz wenu hawakufunga sababu ya korona Ila sababu Nchi zingine zimefunga Kama wasingefunga bc na Kenya wasingefunga huku kunaitwa KUKOMAA KUANZIA SHINGONI KUJA CHINI NA SIO JUU.
 
Upumbavu uliokuwepo Kwenye Nchi yao wanatuletea sisi ,mawili lada kingereza hajui au haijui TANZANIA [emoji1241] na watanzania kwa ujumla labda kwa kumsaidia tu Mimi mtu wa pwani nimeenda kuoa Tanga anko wangu kaoa Iringa mdogo wangu anataka kuoa Dodoma Sasa nadhani Kama kawaida yake akili yake ya mgando anadhani mambo ya ovyo yaliyokuwepo nchini mwake anadhani yapo Nchi zote cc huku kila mmoja na kabila lake ila tukikutana wote sawa
 
Ni vizuri watu wote duniani hasa Africa hasa africa mashariki tena tanzania hasa hasa chato na njombe na sehemu zote tujue na kuelewa neno hili
CHARITY BEGINS AT HOME
 
Kenya police force ni criminal enterprise baadala ya kupambana nayo wanahangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…