Nyerere anatumika kwa kiki za kisiasa na familia yake haifurahishwi na siasa kwenye swala la kitaifa. Sherehe za Nyerere zifanyike alikotokea Mara au kama kama ni kwa mzunguko basi zifanyike sehemu tofauti. Lakini hizi sherehe zimekuwa kama ni za Mwanza day! kufanya kampeni za siasa Mwanza, shinyanga na Simuyu.
Lakini kwa ujumla wake hizi Karume day, Nyerere Day wabadilishe na kuwe na siku mmoja ya Maraisi yaani president Day ya kuenzi viongozi wote waliochangia. Pili Mwenge nao ni upotevu wa pesa tu
Lakini kwa ujumla wake hizi Karume day, Nyerere Day wabadilishe na kuwe na siku mmoja ya Maraisi yaani president Day ya kuenzi viongozi wote waliochangia. Pili Mwenge nao ni upotevu wa pesa tu