- Thread starter
- #21
Mwanza ndio mkoa determinant ya kura za urais wa Tanzania.
Naunga mkono hoja, na niliwahi kulisema Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!. na pia nikauliza
P
Tungekuwa na President Day na tutoe politics wakati huo huo tunawaenzi Maraisi wetu. Siasa inatoa hiki kitendo cha kizalendo