M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 4,718 Reaction score 3,804 Aug 22, 2022 #22 Kesho hakikisha unatoa idadi kamili ya vishikwambi unavyomiliki, vilivyoibiwa.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 22, 2022 Thread starter #23 Mcharo son said: Kesho hakikisha unatoa idadi kamili ya vishikwambi unavyomiliki, vilivyoibiwa. Click to expand... Mimi nilitoswa baada ya intavyuu sasa uzi wa sensa jukwaa la ajira na tenda nauona kama kitua cha polisi wakati nilikuwa nakesha mule na Mwanangu mpwayungu village
Mcharo son said: Kesho hakikisha unatoa idadi kamili ya vishikwambi unavyomiliki, vilivyoibiwa. Click to expand... Mimi nilitoswa baada ya intavyuu sasa uzi wa sensa jukwaa la ajira na tenda nauona kama kitua cha polisi wakati nilikuwa nakesha mule na Mwanangu mpwayungu village
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,187 Reaction score 6,620 Aug 22, 2022 #24 Fanyia kazi ujumbe
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 23, 2022 Thread starter #25 Kizibo said: 😂😂😂😂😂😂😂😂 Kijamaa ukikikuta kinampamba Mayele utasema kina akili kumbe kichwani ni HOLLOW SPACE 😂😂 Click to expand... Duh! umefikia mbali sana mmi ni genius mkuu
Kizibo said: 😂😂😂😂😂😂😂😂 Kijamaa ukikikuta kinampamba Mayele utasema kina akili kumbe kichwani ni HOLLOW SPACE 😂😂 Click to expand... Duh! umefikia mbali sana mmi ni genius mkuu
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 23, 2022 Thread starter #26 Vita boy said: Ndugu zangu hii kitaalamu inaitwa mania ni mmoja wapo wa ugonjwa wa akili! Ahsanteni#grandiose delusion# Click to expand... Nifanye nini nipone mkuu?nipe muongozo mkuu
Vita boy said: Ndugu zangu hii kitaalamu inaitwa mania ni mmoja wapo wa ugonjwa wa akili! Ahsanteni#grandiose delusion# Click to expand... Nifanye nini nipone mkuu?nipe muongozo mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 23, 2022 #27 Inapendeza...
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Aug 23, 2022 #28 Mimi mwinyi ame ni text pia hii ni dalili nzuri sana kwetu.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 23, 2022 Thread starter #29 pwilo said: Mimi mwinyi ame ni text pia hii ni dalili nzuri sana kwetu. Click to expand... Inapendeza sana..
pwilo said: Mimi mwinyi ame ni text pia hii ni dalili nzuri sana kwetu. Click to expand... Inapendeza sana..