Kuna mwaka waliandaa timu ya taifa walizunguka nchi nzima kusaka vipaj hawakuchukua mchezaj simba wala yanga ,wakaipa jina taifa maboresho mechi ya kwanza sikumbuk kat ya malawi au burundi ,tukala tatu kwa mkapa iyo timu mpaka leo sijui ilipoHii club ya taifa inaweza kununua mchezaji kwa milioni 700 tena kutoka Zambia?
Club za majeshi tu zimeshindwa hiyo ya taifa itawezaje?
Timu ya taifa inashindwa kabisa,kuna vijana walifanya vema Serengeti boys lakini wengine sasa walishapotea.Itakuwa kazi ngumu sana ku manage hii club
Mkuu simba na yanga wanauwaje mpira wa Tanzania tusaidie kidogo hapo.mi ni mpinzani wa magufuri ,lakini kwa la simba na yanga kuua mpira wa tz yupo sahihi kabisa,,
ni kama ccm ndio kikwazo cha maendeleo hapa tz
Mbona zipo Polisi Tanzania na JKT ambazo zinakula ela za taasisi za serekali na wala hazifurukuti?. Serekali iweke bajeti ya kutosha kwenye wizara ya michezo na kujikita zaidi kuinua michezo kwa vijana mashulenilabda amemaanisha serikali iwe na club yake ya mpira wa miguu...achana na hizi club za taasisi mbalimbali
kwani haina?labda amemaanisha serikali iwe na club yake ya mpira wa miguu...achana na hizi club za taasisi mbalimbali
Azijenge timu za jeshi zichukuw ubingqa africa"Bashungwa tumekupeleka kwenye michezo tunataka tushinde, sio tukilala tukiamka mabao 10, wote mtaondoka hata wewe Naibu Waziri Ulega, tukashinde, na Simba na Yanga zimetuchelewesha ikiwezekezana tuwe na Club ya Taifa kabisa isiyokuwa na Usimba na Yanga” asema Rais Magufuli akiwaapisha Mawaziri wapya leo IKULU Dodoma.
Ni sawa na kusema kuwa vyama vya siasa vya upinzini ndo kikwazo cha maendeleo hivyo anachotaka Mr. Pombe ni kuwa na club moja tu ya CCM ili kusiwe na furukuta nyingine.mi ni mpinzani wa magufuri ,lakini kwa la simba na yanga kuua mpira wa tz yupo sahihi kabisa,,
Maamuzi mengi tff yanategemea simba na yanga, unasahau hawa simba na yanga wakivunja sheria wanaambiwa wakamalizane mezaniKwan simba na yanga zinazizuia timu zingine kufanya vizuri?