acha uongo kaka... Hakuna kitu ka icho C moja unit yake ni 4 atapata alama 45 ambayo ni zero..
A 1
B+ 2
B 3
C 4
D 5
E 6
F 7
Mkuu labda tujaribu kukokotoa kwa kutumia hizo unit zako tuone tutapata nini; Haya twende sasa:-
1. Masomo yanayohesabiwa ni saba. Sasa kama ana "F" sita na "c" moja itakuaje
2. If F=7 and C=4
3. then (7 x 6subjects)=42
4. and (4 x 1subject) =04
5. 42 + 4 = 46
Mie niefanya hivyo. wewe umefanyaje kupata 45!!!?