Maajabu matokeo kidato cha nne

Maajabu matokeo kidato cha nne

acha uongo kaka... Hakuna kitu ka icho C moja unit yake ni 4 atapata alama 45 ambayo ni zero..
A 1
B+ 2
B 3
C 4
D 5
E 6
F 7

Mkuu labda tujaribu kukokotoa kwa kutumia hizo unit zako tuone tutapata nini; Haya twende sasa:-

1. Masomo yanayohesabiwa ni saba. Sasa kama ana "F" sita na "c" moja itakuaje
2. If F=7 and C=4
3. then (7 x 6subjects)=42
4. and (4 x 1subject) =04
5. 42 + 4 = 46

Mie niefanya hivyo. wewe umefanyaje kupata 45!!!?
 
acha uongo kaka... Hakuna kitu ka icho C moja unit yake ni 4 atapata alama 45 ambayo ni zero..
A 1
B+ 2
B 3
C 4
D 5
E 6
F 7

Naomba pia nikueleweshe na mpangilio wa madaraja na points zake ili usiendelee kukosea tena! Lakini kama uko tayari kujifunza manake ndio kazi ya jukwaa hili;

Div 1 = 7 - 17
Div 2 = 18 - 24
Div 3 = 25 - 31
Div 4 = 32 - 46
Div 0 =47 - 49
 
Mkuu mwaka huu hakuna Penalty hata ukifeli B/Maths unapata I au II[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD]S0263/0060[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]22[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B' B/MATH - 'F' FOOD - 'B'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S0263/0069[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]22[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' FOOD - 'B+'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S0207/0065[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]22[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B+' LIT ENG - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/INDENT]


Nashukuru sana mkuu kwa hii taarifa muhimu.
We're moving backwards while others are matching forward.
 
Inaonyesha hizi alama "e" zipo kisiasa, bila "d" mbili kama miaka iliyopita hakuna division 4. Tofauti ni points tu, mambo ni yaleyale!
 
nahisi kuna div 5 humo imechanganywa, nyingine zimeangukia Zero, nyingine Div 4
 
Maajabu ya Necta [TABLE="width: 70%"] [TR] [TD="width: 6%"]S0711/0015 [/TD] [TD="width: 4%"]F [/TD] [TD="width: 6%"]45 [/TD] [TD="width: 4%"]IV [/TD] [TD="width: 58%"]CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F' [/TD] [/TR] [/TABLE] [TABLE="width: 70%"] [TR] [TD="width: 6%"]S0711/0012 [/TD] [TD="width: 4%"]F [/TD] [TD="width: 6%"]45 [/TD] [TD="width: 4%"]0 [/TD] [TD="width: 58%"][
 
NECTA wameshatoa ufafanuzi wa suala hili sasa tusubiri Kamishna wa Elimu ambaye kwa mujibu wa NECTA ndiye atatangaza sifa za watu kujiunga na A-level pamoja na Ualimu
 
Back
Top Bottom