Maajabu matokeo kidato cha nne

Maajabu matokeo kidato cha nne

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0698/0088
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]41
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' PHY - 'E' CHEM - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0698/0056
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]41
[/TD]
[TD="width: 4%"]0
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0698/0088
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]41
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' PHY - 'E' CHEM - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kutoka S0698 ECKERNFORDE SECONDARY SCHOOL
 
Ni kwa makusudi wamefanya hivyo! Nafikiri wanataka tuanze kujadili haya matokeo tusahau maovu/ufisadi wao! Makubwa kweli yaan mwenye 'e' tano hafai, ni bora mwenye 'c' moja na 'e' moja!
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0102[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]41[/TD]
[TD="width: 4%"]iv[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' kisw - 'c' engl - 'e' chem - 'f' bio - 'e' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0112[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]41[/TD]
[TD="width: 4%"]iv[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'e' kisw - 'c' engl - 'd' bio - 'e' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0058[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]41[/TD]
[TD="width: 4%"]0[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' phy - 'e' chem - 'e' bio - 'e' b/math - 'e'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0101[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]0[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'f' bio - 'e' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0084[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]0[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'f' bio - 'e' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0057[/TD]
[TD="width: 4%"]m[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]iv[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0045[/TD]
[TD="width: 4%"]f[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]iv[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'f' bio - 'f' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0008[/TD]
[TD="width: 4%"]f[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]iv[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]s1930/0009[/TD]
[TD="width: 4%"]f[/TD]
[TD="width: 6%"]45[/TD]
[TD="width: 4%"]0[/TD]
[TD="width: 58%"]civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

From S1930 J. M. KIKWETE SECONDARY SCHOOL
 
Ni kwa makusudi wamefanya hivyo! Nafikiri wanataka tuanze kujadili haya matokeo tusahau maovu/ufisadi wao! Makubwa kweli yaan mwenye 'e' tano hafai, ni bora mwenye 'c' moja na 'e' moja!

Angalia wanavyojichangaya yaani mtu anapata point 41 anakuwa na div. IV na mtu mwingine Point 41 ni div 0

How comes mtu anakuwa na point 45 anapata div IV na huyu wa point 41 anapata div 0????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????:wave::wave::wave::wave:
 
Ili mtahiniwa aitwe amefaulu kwa kanuni za mitihani za NECTA ni lazima awe amepata walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Pungufu ya hapo ni kuwa umefeli.
 
Naomba ufafanuzi kuhusu madaraja/ divisions za mwaka huu katika matokeo ya f4 2013. Hii kwa sababu kuna watahiniwa wana points sawa lakini divisions zao zinatofautiana. Kwa anayefahamu sababu anisaidie

mfano: Yupi alistahili zero hapa chini?

S3458/0013
F
43
0

[TD="width: 58%"] CIV- 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' LIT ENGL - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]

S3458/0024
F
45
IV

[TD="width: 58%"] CIV- 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
[/TD]

ni kwa nini?
SOURCE NI WEBSITE YA NECTA

Maelezo yaliyotolewa ni kuwa ili mtu afaulu anatakiwa kupata walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyoyafanya pungufu ya hapo ni "Zero". Ktk hizo namba ulizotoa namba 13 ana pts 43 lakini ni zero kwa sababu ana "D" moja tu na namba24 ana pts 45 lakini ni four kwa sababu ana "C" moja. Ni hivyo tu!
 
Kama elimu imekushinda ingia kwenye siasa,na jiunge na chama cha kina nape
 
Kaka "Majaar" Nimesoma kwa umakini kwa mara nyingine nikagundua hakuna nilichokosea kwani mwandishi hakuwa anafahamu vigezo vilivyotumika na ndio maana akaona kuna mkanganyiko ktk madaraja. Na nilichokifanya mimi ni kumpa hiyo elimu bure kabisa. Kwa hiyo na wewe ni haki yako kuamini kuna mkanganyiko kama alivyoandika au kuchukua elimu hii ya bure niliyoitoa! Vingineyo unaweza kunambia nilipokosea nijirekebishe hili ni jukwa huru bwana!

By the way mbona kuna wengine wamepata Div. 1 pts 17 na wengine Div III pts 17 Hii unajua ni kwa nini eeh?

Mkuu Lweye
Kwa point 17 utapewa Div III kwa kufeli hesabu?
Sina hakika, naomba ujibu tafadhali.

By the way, nimependa ulivyomjibu Majaar.
 
Hakuna mkanganyiko wowote katika madaraja ya matokeo, isipokuwa ni uelewa duni wa waandishi wetu wa "kisasa". Ili mtu awe na daraja ya nne ni lazima awe na walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Chini ya hapo ni division "Five". Mfano: Mwanafunzi aliyepata E katika masomo yote saba atakuwa na pointi 42 huyu atakuwa na div. o. Lakini mwanafunzi aliyepata F masomo sita na C moja atakuwa na pointi 46 ambayo ni Div. 4.

Sasa huyo mwandishi ajaribu kuangalia matokeo ya hizo namba alizoandika kwa kuzingatia vigezo hivyo alafu aje aseme huo mkanganyiko uko wapi

Na mwanafunzi aliye re-sit masomo matatu lakini majibu yametoka ameandikiwa alifanya masomo matano, hiyo nayo imekaa sawa?
 
siasa hadi kwenye vitu vya muhimu kama hivi dah, mtu unachoka kabisaa.
 
Na mwanafunzi aliye re-sit masomo matatu lakini majibu yametoka ameandikiwa alifanya masomo matano, hiyo nayo imekaa sawa?

Hizo ni hadithi kama za Mzee Bujugo mwaka jana! Huyo mwanafunzi atakuwa kasahau namba yake. Si unajua matokea yapo kwa namba na sio kwa majina. Kama ana uhakika aende NECTA akapate ufafanuzi mzuri wa tatizo hilo kama lipo
 
Kwa point 17 utapewa Div III kwa kufeli hesabu?
Sina hakika, naomba ujibu tafadhali
.​

Mkuu mwaka huu hakuna Penalty hata ukifeli B/Maths unapata I au II[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD]S0263/0060
[/TD]
[TD]F
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[TD]II
[/TD]
[TD]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B' B/MATH - 'F' FOOD - 'B'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S0263/0069
[/TD]
[TD]F
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[TD]II
[/TD]
[TD]CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' FOOD - 'B+'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]S0207/0065
[/TD]
[TD]F
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[TD]II
[/TD]
[TD]CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B+' LIT ENG - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hakuna mkanganyiko wowote katika madaraja ya matokeo, isipokuwa ni uelewa duni wa waandishi wetu wa "kisasa". Ili mtu awe na daraja ya nne ni lazima awe na walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Chini ya hapo ni division "Five". Mfano: Mwanafunzi aliyepata E katika masomo yote saba atakuwa na pointi 42 huyu atakuwa na div. o. Lakini mwanafunzi aliyepata F masomo sita na C moja atakuwa na pointi 46 ambayo ni Div. 4.

Sasa huyo mwandishi ajaribu kuangalia matokeo ya hizo namba alizoandika kwa kuzingatia vigezo hivyo alafu aje aseme huo mkanganyiko uko wapi

Ww ni JUHA,Km akili ni nywele bas nywele zako zimeotea pabaya
 
Viongozi wetu washamba tu! Hawajui hata mambo yakufanyia masihara! Sijui wanamapepo?? Mimi hata sielewi kabisa!
pepo la kiherehere mara oooh div 5 mara oooh div 46 wapi na wapi baba wa taifa angekuwepo asinge kubali uj*n*g mwishoe tuta sikia div 6o.......70.........80.
..
 
Ww ni JUHA,Km akili ni nywele bas nywele zako zimeotea pabaya

Sishangazwi sana na lugha unayoitumia kwani hiyo ndio picha halisi ya matokeo ya vijana wetu manake wengine waliposhindwa kuelewa swali waliandika matusi kama wewe!
 
Ww ni JUHA,Km akili ni nywele bas nywele zako zimeotea pabaya

Kwa hyo,kumtusi mkuu Lweye roho imeridhika?
No wonder una div 0 ya pts 41,kwani una D moja na E sita!
Ulipaswa kupata walau D mbili,au C moja ili angalau nikupe kazi ya kufua kyupi cha shem wako!
Ona,umekosa cheti sasa,wahi kabebe ndwika na kutukana watu vya kutosha!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mkanganyiko wowote katika madaraja ya matokeo, isipokuwa ni uelewa duni wa waandishi wetu wa "kisasa". Ili mtu awe na daraja ya nne ni lazima awe na walau "C" moja au "D" mbili katika masomo yote aliyofanya. Chini ya hapo ni division "Five". Mfano: Mwanafunzi aliyepata E katika masomo yote saba atakuwa na pointi 42 huyu atakuwa na div. o. Lakini mwanafunzi aliyepata F masomo sita na C moja atakuwa na pointi 46 ambayo ni Div. 4.

Sasa huyo mwandishi ajaribu kuangalia matokeo ya hizo namba alizoandika kwa kuzingatia vigezo hivyo alafu aje aseme huo mkanganyiko uko wapi

acha uongo kaka... Hakuna kitu ka icho C moja unit yake ni 4 atapata alama 45 ambayo ni zero..
A 1
B+ 2
B 3
C 4
D 5
E 6
F 7
 
Back
Top Bottom