MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.

Hakika haya ni maajabu
Nafikiri yeye ni wa mwisho kwenye familia yao hana ndugu mwingine
 
sishangai mbona hata yule kaka yao mkubwa king of all social media le akili kubwaz, huwa anahudhuria after school bash......kama ujuavyo hiyo bash inahudhuriwa na watoto wa shule za sekondary ambao ni 14-20 (ndo kumaanisha na yeye anarange hapo, mi na wewe hatujui)
 
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.

Hakika haya ni maajabu
Dah.... We vipi bana? Kwanza Unajua anatumia kalenda ipi? Halafu mara nyingi umri wa madem wengi hukwama kwenye 26yrs..... wachache sana ndiyo hufanikiwa kuvuka upesi hapo.... [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…