MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Hivi Jockate si ndo yule alikuwa anahost kipindi cha Jackpot bingo miaka ya 2000? Tena alikuwa hivihivi kama alivyo leo?
mmh nahisi umechanganya mambo...nakumbuka alikuwepo monalisa (huyu muigizaji), ted ( sasa ivi ameolewa huko America),
hanifa (alikuja kuwa mtangazaji wa Itv kipindi cha muziki), na Janeth Mwenda ( huyu namuonaga clouds tv).
naweza kusahihishwa
 
Me siwezi kushadidia kwakua post yako bado sjaielewa ukiweza weka mambo vizri nitililike
 
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.

Hakika haya ni maajabu

Inawezekana mkuu wengine huwa miaka inapungua mpaka inafika 0 inaanza tena 40 inashuka mpaka 0 cycle ni hii hii mpaka wanakufa
 
mmh nahisi umechanganya mambo...nakumbuka alikuwepo monalisa (huyu muigizaji), ted ( sasa ivi ameolewa huko America),
hanifa (alikuja kuwa mtangazaji wa Itv kipindi cha muziki), na Janeth Mwenda ( huyu namuonaga clouds tv).
naweza kusahihishwa
Janet aliolewa akawa Janet Talawa yuko wapi siku hizi?
 
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Oho!!! Hatari kuanzia mwaka 2006 hadi sasa ni miaka 11. Hivyo ana miaka 28, ila kama alizaliwa tarehe 28 September 1988, hivyo ana miaka 30. Ila hakutakiwa kushiriki maana alikuwa na miaka 17 tu.

upload_2017-5-31_19-9-34.png
upload_2017-5-31_19-9-34.png
 
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Hiyo under twenty yako ni miaka mingapi, be specific

Ili tujumlishe na 11 tupate jibu sahihi
 
Hivi Jockate si ndo yule alikuwa anahost kipindi cha Jackpot bingo miaka ya 2000? Tena alikuwa hivihivi kama alivyo leo?
[emoji23] [emoji85] watu tulikua tunatambaa mpaka tumekua bado tuu ana 20's
 
Back
Top Bottom