Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hii kubwa kubwa nalo jauMbona lemutuz ana miaka 28 kasoro
Ya chattleYa Korea kaskazini labda.
Sasa wewe na madam wako nani hazimo? Je chura ya madam wako ni ya shanghai au tokyo?[emoji41] [emoji41]Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Mkuu mtu aliezaliwa 28 Sep 1988 ana miaka 30? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oho!!! Hatari kuanzia mwaka 2006 hadi sasa ni miaka 11. Hivyo ana miaka 28, ila kama alizaliwa tarehe 28 September 1988, hivyo ana miaka 30. Ila hakutakiwa kushiriki maana alikuwa na miaka 17 tu.
View attachment 517226View attachment 517226
Me nina mashaka na umri wa harmorapa! Natoa shilingiKuna watu nina mashka na umri wao
Wema
Aly kiba
Jokate
Kaseja
Ngassa
Hawa jamaa nina mashaka nao sana
HahahaWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Mie nipo uchina na huku mtoto akizaliwa huwa na mwaka mmoja. Hivyo Wema tarehe 28 Sept 1988 alikuwa na mwaka mmoja na sasa ana miaka 30. Jengine?Mkuu mtu aliezaliwa 28 Sep 1988 ana miaka 30? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimkuze mtoto wa watu wakati hata 29 hajafikisha loo!Mie nipo uchina na huku mtoto akizaliwa huwa na mwaka mmoja. Hivyo Wema tarehe 28 Sept 1988 alikuwa na mwaka mmoja na sasa ana miaka 30. Jengine?
Yaani kama Aunty ukimwangalia tu unajua hii ngoma ya 32-33[emoji23][emoji23][emoji23]Wema Sepetu
Irene Uwoya
Aunty ezekiel
Jackyline Wolper
Wote hawa wananishangaza wanavyosema wamezaliwa 1988 sura zao na hiyo miaka tofauti kabisa
Kwanini huwa wanadanganya umri?!
Yaishe nipo UCHINA ila nimeonywa nisiandike ya mtu yeyote ila Jokate tu. Ref MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahahaUsimkuze mtoto wa watu wakati hata 29 hajafikisha loo!
Mmmmh ya kirumi au?!Usimkuze mtoto wa watu wakati hata 29 hajafikisha loo!
Mkuu tatizo hatuna rekodi sahihi Za umri wa MANYANIMe nina mashaka na umri wa harmorapa! Natoa shilingi