mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Itafute ipo humu kwa hisani ya TTCL.mkuu hiyo ivatar yako naomba uiattach hapa
tafadhali lakini
mtandao wetu huu wa kizalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafute ipo humu kwa hisani ya TTCL.mkuu hiyo ivatar yako naomba uiattach hapa
tafadhali lakini
Yule Ana miaka 21.Hivi na kale kadada ka bongomuvi wanakosemaga eti kananuka papuchi sijui kana umri gani vile[emoji12]
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Tatizo hata mababu nao wanazitaka zilizo changa lakini kama wangezitaka za wazee wenzao; haya mambo yasingekuwapo kabisa!! But all in all, Jokate is 30.Kwanini huwa wanadanganya umri?!
Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Ngasa(79) na Kaseja(70's) wala usipate shaka....ni wazee
Rahisi sana kuponda wenzenu huku mmejificha nyuma ya avatar. I bet umekomaa sura kuliko Madame Wema, bisha...
Kuna watu nina mashka na umri wao
Wema
Aly kiba
Jokate
Kaseja
Ngassa
Hawa jamaa nina mashaka nao sana
Nafikiri ni under the same sun chini ya Vicky mketemaMara ya mwisho alikuwa kwenye project ya under the sun kuwahudumia watoto maalbino. Alipendeza sana kusoma taarifa ya habari ITV
You just wasted a precious server space afisa. Nashukuru kwa kuniita Kamaradi, lakini kama una tatizo na Wema hatuko pamoja...
Bruh umedandia gari kwa mbele. Niliyemjibu amesema kuwa Sepenga alikuwa na miaka 26 tangu mwaka 2008... Ndio hapo niliposhangaa, ya 2017 sijayatilia maanani, she's forever young u know...Tufanye alichukua na miaka 15 .... Then toka 2006 hadi 2017 , tunapata miaka miaka 11 .... Yah yah, jumla ana miaka 26 .... kweli wanamsingizia madam
I feel you hommie. It sucks you ain't her...Wivu kwa ulemavu ha ha ha Poleeee