MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Hongera kwa uzuri wako pamoja na genes nzuri zinazokupa umbo zuri.

Lakini pia nadhani una mtu wako wa uhakika (mume au mchumba). Kama bado ungekuwa kwenye soko huria ungekuwa mgumu kidogo kuanika umri wako.
Hahaha nna mumeee..
Kiukweli ht kabla sijaolewa...mtu akiuliza we ni mwaka gani sisiti kusema
 
Tutajua umri wake shavu zikiaanza kushuka chini ya kidevu soon..
 
Duuh imebidi niingie wikipedia kutibitisha
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-02-11-38-53.jpeg
    Screenshot_2017-06-02-11-38-53.jpeg
    36 KB · Views: 217
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Wema Sepetu (born 28 September 1988) is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress.WIKIPEDIA
 
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.

Hakika haya ni maajabu
Mwegelo was born on March 20, 1987, in Washington, D.C, where her parents worked. She was raised in Dar es Salaam, Tanzania. She started primary school at Olympio Primary School and attended St. Anthony High School, graduating from Loyola High School, Dar Es Salaam, Tanzania. She attended the University of Dar Es Salaam, where she graduated with a bachelor of arts degree in political science and philosophy.WIKIPEDIA
 
Umeona wapi Vampire akazeeka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ukifatilia ya wasanii utajiumiza bure, mi nadhani wasanii wa tanzania wanatumia Kalenda ya kichina[emoji116]
06b52620e642f69a05cbeba6347b40be.jpg
2d963ec388c49dbcebbdc1bae1482380.jpg
 
Ndo maana tumeleta ukaguzi Wa Umri...

Kuna huyu msanii alowah sema " ndo kwanza ninamiaka 28" watu wanapenda utoto kweli.
 
Back
Top Bottom