MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Jokate alimaliza Form six pale Loyola High school mwaka 2006.
Kimahesabu...
Primary School (Miaka 7)
Pre Form one at Loyola(Mwaka 1)
Ordinary Level(Miaka 4)
Kusubiri kujiunga Form Five(Mwaka 1)
Advance Level (Miaka 2).

Hivyo Miaka ya Shule ni 15, miaka ya kuanza shule 6, JUMLA miaka 21. (Hii ni mwaka 2006 wakati anashiriki mashindano ya Miss Tanzania).
Toka ameshiriki mashindano ya Miss Tanzania 2006 mpaka leo hii 2017 kuna tofauti ya miaka 11.

Hivyo umri halisi wa Joketi wa sasa ni wastani wa Miaka isiyopungua 32.
 
Wasanii wooooteee wa bongo movie huwa wanasema wana miaka chini ya 30 ika wazee kuliko wenye hio miaka zaidi ya 30
Hivi na kale kadada ka bongomuvi wanakosemaga eti kananuka papuchi sijui kana umri gani vile[emoji12]
 
Yaani kama Aunty ukimwangalia tu unajua hii ngoma ya 32-33[emoji23][emoji23][emoji23]

Wote hao wameshafika 30 ila wanajirudisha nyuma kwa maslahi mapana ya biasharaz[emoji125][emoji125]
Aunty kakomaa kabisa yaan mimi nagoma yule kusema wa 88.
 
FID Q katika maishari yake fulani alisema "Ni wanawake wachache wanakubali miaka yao yani ni sawa na vidume vichache hufanya mambo yanayolingana na umri wao"
 
Hii thread inachekesha Sana waacheni mabinti wa bongo movie bhana
 
Ahahaha watu wanakana miaka yao. Ila wasanio wetu wanapenda udogo jamani khaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu una uhakika na unachokisema? Kama ni ndivyo hayo ni maajabu kwakweli
 
Tatizo wakisema miaka yao halisi matumaini ya kuolewa na kupata mabwana inapungua....
 
Jokate alimaliza Form six pale Loyola High school mwaka 2006.
Kimahesabu...
Primary School (Miaka 7)
Pre Form one at Loyola(Mwaka 1)
Ordinary Level(Miaka 4)
Kusubiri kujiunga Form Five(Mwaka 1)
Advance Level (Miaka 2).

Hivyo Miaka ya Shule ni 15, miaka ya kuanza shule 6, JUMLA miaka 21. (Hii ni mwaka 2006 wakati anashiriki mashindano ya Miss Tanzania).
Toka ameshiriki mashindano ya Miss Tanzania 2006 mpaka leo hii 2017 kuna tofauti ya miaka 11.

Hivyo umri halisi wa Joketi wa sasa ni wastani wa Miaka isiyopungua 32.
Khaa bhas ni bibi
2006.niko form 1.
 
Back
Top Bottom