MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Eti Hata LeMutuz ana miaka 18 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
Sasa wewe na madam wako nani hazimo? Je chura ya madam wako ni ya shanghai au tokyo?[emoji41] [emoji41]
 
Wema Sepetu
Irene Uwoya
Aunty ezekiel
Jackyline Wolper

Wote hawa wananishangaza wanavyosema wamezaliwa 1988 sura zao na hiyo miaka tofauti kabisa
Yaani kama Aunty ukimwangalia tu unajua hii ngoma ya 32-33[emoji23][emoji23][emoji23]

Wote hao wameshafika 30 ila wanajirudisha nyuma kwa maslahi mapana ya biasharaz[emoji125][emoji125]
 
Usishangae Watoto wengine wanazaliwa tayali washakuwa na umri wa miaka mitano hivyo kuwapita kimahesabu ni kawaida na hasa hao wadada wanaopenda kuonekana wa kidato cha pili kalenda zao zinaanzia mbele kurudi nyuma
 
addf356a3ad46202958cfd5f29de19ce.jpg


3959b266def78eb5150aef452812e06a.jpg
 
Back
Top Bottom